Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA BASI BUNDA

 Toyota Coaster lenye namba za usajili T 399 BYC lililokuwa likitokea Musoma kwenda Bunda likiwa limepata ajali mchana huu eneo la Bitaraguru, Bunda mkoani Mara. Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali wakisaidiwa kutoka kwenye basi hilo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi

Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.

 

11 years ago

Michuzi

Askari wa Usalama barabarani aliyefariki katika ajali kisarawe aagwa leo, mwili wake wasafirishwa kwenda bunda kwa mazishi

Askari wa Usalama barabarani wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Koplo John John Masele aliyepata ajali  ya gari na kufariki  dunia hapo hapo maeneo ya Kisarawe, mkoa wa Pwani, juzi. Hii na baada ya mwili wake kuagwa jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa kuelekea kwao Bunda mkoa wa Mara.

 

11 years ago

Habarileo

Ajali ya basi yaua 10, yajeruhi 30

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Simiyu, Charles MkumboWATU 10 wamekufa papo hapo na wengine 30 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya basi la Luhuye Express lililokuwa likitoka wilayani Tarime mkoani Mara kwenda jijini Mwanza jana.

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 20 DODOMA

Basi la Moro Best baada ya ajali hiyo mbaya. TAKRIBANI watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo. Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya…

 

10 years ago

GPL

MAAJABU 5 AJALI YA BASI, FUSO

Muonekano wa alama ya mnyama anayefanana na Chui akitembea akiwa na mtoto wakati wa magari hayo yakiwaka moto.
WAANDISHI WETU MAAJABU matano yameibuka kufuatia ajali mbaya iliyohusisha lori aina ya Fuso na basi la abiria iliyotokea Jumapili iliyopita eneo la Iyovi, Ruaha, Kilosa mkoani Morogoro ambapo zaidi ya watu 19 walifariki dunia, 13 kati yao kuteketea kwa moto na kuzikwa kwenye kaburi moja katika Makaburi ya Msavu...

 

10 years ago

Mtanzania

Ajali ya basi yaua 42 Iringa

WATU 42 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba mbao.
Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi katika eneo la Changalawe, Mafinga mkoani Iringa.
Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo aliiambia MTANZANIA kwamba basi hilo namba T438 CDE, mali ya Kampuni ya Majinjah Express lilikuwa likitoka Mbeya kwenda Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa shuhuda huyo basi hilo liligongana na lori hilo lililokuwa likitoka Iringa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajali ya Basi yaua Tanzania

Watu wengi wanahofiwa kufa katika ajali ya Basi linalosemekana kuangukiwa na Kontena.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 5 SHINYANGA

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu watano wamepoteza maisha katika ajali ya basi la Unique lenye namba za usajili T 148 BKK lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora lililogongana na lori la Kampuni ya Coca cola. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Ibingo Kata ya Samuye, Shinyanga. Taarifa kutoka eneo la tukio zinadai kuwa watu wengi wamejeruhiwa katika ajali hiyo na wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani