Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushabiki wa soka wamtia matatani mwanamke

Mchezaji na shabiki sugu wa soka mwanamke nchini Saudi Arabia, amejipata mashakani baada ya kuingia katika uwanja uliokuwa na mashabiki wanaume.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ubani wa kutafuna wamtia matatani mtoto

Kituo kimoja cha televisheni KHQ-TV kimeripoti kwamba mtoto huyo mvulana alifikishwa mahakamani kwa kuiba paketi ya gamu/bigiji/chingamu/ au ubani wa kutafuna .

 

10 years ago

BBCSwahili

Matatani kwa kumvua nguo mwanamke Kenya

Wafanyakazi wa basi moja waliotuhumiwa kwa kumnyanyasa kimapenzi mwanamke wanakabiliwa na hukumu ya kifo baada ya kushitakiwa kwa kosa la wizi wa mabavu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke wa Iran apata agizo la jaji kushiriki katika soka

Mwanamke mmoja ambaye ni nyota wa soka nchini Iran amefanikiwa kushiriki katika mchuano mmoja ughaibuni baada ya jaji kuzuia juhudi za mumewe za kumtaka kutosafiri.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mzaha wamtia mashakani mwanasayansi

Mwanasayansi wa Uingereza Sir Tim Hunt amejiuzulu baada ya kutoa tamko la mzaha kuhusu wanawake.Mshindi huyo wa taji la Nobel alisema kuwa wanawake huwapenda wanaume wanaofanya kazi nao kwa urahisi.

 

10 years ago

Mtanzania

JK, Ukawa wamtia Sitta kitanzani

Mtanzania 10092014NA RACHEL MRISHO, DODOMA

UAMUZI uliofikiwa na viongozi wa vyama vya siasa na Rais Jakaya Kikwete umemweka katika wakati mgumu Mwenyeki wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kuahirisha au la vikao vya Bunge hilo.

Hii inafuatia Rais Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kukubaliana kusitisha Bunge la Katiba Oktoba 4 tofauti na ratiba ya Sitta ambayo inaonyesha vikao vitaendelea hadi Oktoba 31 atakapomkabidhi rais katiba iliyopendekezwa.

Vilevile kwa tafsiri ya uamuzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ulevi wamtia mashakani Phelps

Muogeleaji bingwa wa Olimpiki nchini Marekani,Michael Phelps, amekamatwa kwa kundesha gari akiwa mlevi.

 

11 years ago

GPL

MKOROGO WAMTIA ADABU WEMA

Na Mwandishi Wetu
MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia  mwilini mwake. Wema Sepetu. Akizungumza juzi na paparazi wetu ofisini kwake jijini Dar, Wema alisema  kuwa baada ya kwenda kliniki nchini China na kupata matatibu ya ngozi yake ambayo sasa imerudi kama mwanzo amejifunza kitu. NI...

 

10 years ago

Mwananchi

wakina Guninita ‘wamtia’ DC Makonda kortini

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametakiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuwasilisha utetezi dhidi ya madai ya makada wawili wa CCM, John Guninita na Mgana Msindai kuwa aliwadhalilisha kwa kuwaita vibaraka wanaotumiwa kuharibu chama hicho kwa nguvu ya pesa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mzaha wamtia mashakani rais wa Bolivia

Rais wa Bolivia Evo Morales ameomba msamaha kwa kufanya mzaha kuhusu uwezekano wa waziri wake wa afya Ariana Campero kuwa mpenzi wa jinsia moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani