Ashtakiwa kwa kunajisi mtoto wa miaka 4
MKAZI wa Bangulo Hali ya Hewa, Baraka Benson (30) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka ya kumnajisi mtoto wa miaka minne.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Mar
Mlinzi adaiwa kunajisi mtoto wa miaka 2
MLINZI wa Kampuni ya Security Guard, Keiya Kapuka (28) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, kujibu mashitaka ya kunajisi mtoto wa miaka miwili. Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Munde Kalombola alidai mbele ya Hakimu Ester Mwakalinga kuwa Februari 9, mwaka huu, eneo la Mtaa wa Muheza wilayani Ilala, Kapuka alimnajisi mtoto wa miaka miwili.
11 years ago
Habarileo21 Mar
Mwanafunzi adaiwa kunajisi mtoto wa miaka minne
Mwanafunzi wa darasa la kumi Shule ya Sekondari ya Mwera Wilaya ya Kati Unguja Rashid Suleiman Ame anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kunajisi mtoto mwenye umri wa miaka 4 (jina linahifadhiwa).
10 years ago
StarTV24 Nov
Mama ashtakiwa kwa kutupa mtoto.
Mama mmoja nchini Australia anashtakiwa kwa kosa la jaribio la mauaji dhidi ya mtoto wake mchanga ambaye alikutwa akilia katika eneo alilotelekezwa kwenye mfereji unaopitisha maji machafu pembeni ya barabara mjini Sydney,ambapo Polisi wanakisia kuwa mtoto huyo alikuwa katika eneo hilo kwa siku tano.
Waendesha baiskeli walisikia sauti ya mtoto ikitokea kwenye eneo hilo siku ya jumapili.
Mwanamke huyo,Saifale Nai alitiwa nguvuni na Polisi baada ya msako uliodumu kwa saa kadhaa kwa kupata...
10 years ago
Habarileo16 Aug
Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto
MKAZI wa Kinondoni Msisiri jijini Dar es Salaam, Ally Mzaki (27) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kujibu mashitaka ya kumnajisi mtoto wa miaka mitano.
11 years ago
Habarileo13 Feb
Dada amsaidia kaka kunajisi binti wa miaka 12
MKAZI wa mtaa wa Tambukareli wilayani Mpanda, Helen Simon (20) anashikiliwa Polisi na kaka yake, Afred Mnyonge (24) kwa tuhuma za kumsaidia kaka huyo kumnajisi msichana jirani yao, mwenye umri wa miaka 12.
9 years ago
Dewji Blog24 Aug
Mtoto wa miaka 9 aozeshwa na baba yake kwa mwanaume mwenye miaka 60
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/Untitled9.jpg)
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9).
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi.
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia).
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo,...
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Mama ashtakiwa kutupa mtoto Sydey
9 years ago
BBCSwahili16 Oct
Mwanamke anayedaiwa kuuza mtoto mtandaoni ashtakiwa
5 years ago
CCM BlogMTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...