LULU ADAIWA KUKUWADIWA NA STEVE NYERERE!
![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS10WkojDYoi5JaJ3h87HlVjJrAkwGVRxCsHEYcZaWE7LWLDGPOxU50P3TZybEYiK2KjVUsxPNtZJGNMnMF-aAnM/LULU.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata OOHOOO! Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekwaa skendo ya kudaiwa kukuwadiwa na mwigizaji mwenzake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kwa mwanaume anayedaiwa kutoka naye kimapenzi kwa sasa anayetajwa kwa jina moja la Johnson. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Chanzo makini kilipenyeza ‘upupu’ huo ambao umefafanuliwa na Steve Nyerere kuwa ukaribu wa Lulu na bosi huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXbRKs8L3USnPj6YnGEqO*f5dHk6qvRZbKpQThne-MuGlSpBcp8AdYMf837eGAG2FOozd18lHnv06LrWK-hW8Xko/steve.jpg)
MIKE ADAIWA KUWA MLINZI WA STEVE NYERERE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-MeNb2aDJx3*QIaaOZajAno33TjtSU0FpoY4Hl9iJDeW1GbGNWo2wpBg16Ucansg7O5wiliKnCL9lVaHgOp10oVBm8SfX3CO/STEVENYERERE.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AMWAGIA SIFA LULU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DS3fBDgklooFGfYAU39Yw5nnnIg*NXCeR90EwfYm0pcC1SmTW4IqvaXafUN*FDLsElaKm1TZ80UvieRxYcXzaYvLBEAPrfj8/steve.jpg?width=650)
STEVE NYERERE ADAIWA ‘KULA’ KWA MEMBE, WASIRA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-DeP4gDBSPPOrXR0cEW-cRWpZZovhMZie*t0ROwVw4r1zeCw4dZbWWoq1Zk1Oa-vnHdV09w3YoMjXvRsmBgo-1PA/Steve.jpg)
STEVE NYERERE AMGANDA MAMA LULU KIFUANI
10 years ago
Bongo Movies16 Jan
VIJIMAMBO:Steve Nyerere Amganda Mama Lulu Kifuani!!
Aliye kuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere hivi karibuni aliibua miguno baada ya kumganda kifuani mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila huku akionekana kutotaka kubanduka mwilini mwa mama huyo.
Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha Marehemu Steven Kanumba kiitwacho The Great Follen Tree.
Awali, waalikwa kwenye sherehe hiyo waliinuka na kwenda kucheza wimbo wa...
10 years ago
Bongo Movies19 Aug
MPASUKO Bongo movies! Steve nyerere adaiwa kuingia mitini na hela za maandalizi ya maombi ya wasanii waliofariki
Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amechikichia mtonyo (fedha) mwingi wa klabu kwa masilahi yake
Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho ndani ya klabu hiyo, juzikati viongozi wote wa klabu hiyo walikaa kikao kilichoitishwa na katibu wao, William Mtitu ambacho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kumwajibisha Steve Nyerere kwa madai hayo.
“Kuna...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Steve Nyerere: Wamenikomoa
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6Yl8rz*ye9N8WMXFSLGPOfxYHImu-7mQofxlbQhDvrix722EAyyiK06KXGJiANinGteyLZlLzAxIFU3yAwCSXUsO/steve.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AWAUMBUA MASTAA