Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Steve Nyerere alia na watu wanaomzushia kuwa yeye ni shoga.

Mwenyekiti wa bongo movie Unity, Steve Nyerere amechukizwa na watu wanaotumia mitandao vibaya na kwa kumzushia kuwa ni shoga.

 

Steve Nyerere kupitia akaunti yake ya facebook ameandika:

Napenda kuchukua fursa hii kuongea machache na kama mtaboa mtu naomba samahani najua binadamu tumezaliwa tofauti sana kuna wale wanaogopa zambi na kunawale wanopenda zambi mimi daima nasema izo ni changamoto tuuu ok nimepata taarifa umu umu kwenye mitandao yetu ya kijamiii hususani huuu kwamba kuna binti...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Mimi si shoga

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amekerwa na alichosema uzushi dhidi yake kwamba ni shoga. Kupitia ukurasa wake wa facebook, msanii huyo alisema anachukizwa na kasumba ya baadhi...

 

9 years ago

Bongo Movies

JB Afunguka Kula Chakula Chenye Sumu Yeye na Steve Nyerere

Wasanii wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ na Steve Nyerere wikiendi iliyopita inasemekana walikula chakula chenye sumu,ambapo mpaka sasa Steve Nyerere bado amelazwa hospitali.

B amezungumza na 255 kupitia XXL na kusema hivi:

‘’Siku ya Ijumaa tulikula kitimoto na vyakula tofauti tofauti sasa asubuhi yake ndio tumbo likaanza kuniuma niliendesha sana nikaenda hospitali nikapewa dawa nilivyokunywa hazikunisaidia usiku wake tumbo likaniuma sijawahi kuumwa tumbo kama nilivyoumwa siku ile...

 

10 years ago

Vijimambo

EMPIRE" STAR JUSSIE SMOLLETT AFUNGUKA KUWA YEYE NI SHOGA

Aliyasema hayo alivyokuwa anaojiwa na Ellen kwenye kipindi chake cha TV kwa wale wanaofuatilia Episode ya Empire jina la star huyu alieigiza kama shoga kwenye show hiyo wanampata vilivyo. Jussie kasema kweli kuwa unachokiona kwenye chow hiyo ndiyo maisha yake kwaiyo pigia mstari tu kiroho safi na maisha yaendelee. Zaidi  juu ya ubuyu huu jitiririshe hapa chini kama kikoloni kinapanda utaupata ukweli wake mwenyewe bila chenga.Jussie Smollett on the Ellen DeGeneres Show.‘Empire’ star Jussie...

 

10 years ago

GPL

MIKE ADAIWA KUWA MLINZI WA STEVE NYERERE

Na Hamida Hassan STAA wa filamu za Bongo, Mike Sangu amedaiwa kuajiriwa na Steve Nyerere kuwa mlinzi wake kutokana na kutembea naye kila kona. Staa wa Filamu za Bongo, Mike Sangu Chanzo cha habari hii kilidai kuwa, baada ya Steve kuachia madaraka Bongo Movie Unity, Mike naye alijiondoa kimyakimya na kuhamia kwa Steve na kuwa mlinzi wake kila anakokwenda. “Unajua hadi aibu! Steve hata akisogea kwenda kuongea na simu Mike...

 

11 years ago

Bongo5

Steve Nyerere anusurika kuvamiwa na watu wenye mapanga

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere amesema jana wakati anaelekea nyumbani kwake amenusurika kuvamiwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha mbalimbali yakiwemo mapanga. Kupitia Instagram Steve ameandika: Eeeeeeee Mungu leo nilikuwa na kikao ca PSPF asubuhi jioni ndugu yangu rafiki Devis Mosha akatualika kwake badaye nikawa na wageni wangu toka shinyanga wakati narudi home […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Wamenikomoa

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...

 

9 years ago

GPL

STEVE NYERERE AWAUMBUA MASTAA

Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewachana wasanii kwa kuwaita wanafiki kutokana na kuukacha uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Uwanja wa Jangwani wiki iliyopita. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati, Steve alisema ameshangazwa kuona baadhi ya wasanii kuikacha CCM na kuupigia debe Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao unaundwa na vyama...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AAIBIKA UWANJANI

Dustan Shekidele, Morogoro
NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na mashabiki wa Klabu ya Simba baada ya kuingia uwanjani na demu aliyevaa ‘kihasarahasara’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’akiwa na...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE AMUONYA WEMA

Stori: Shani Ramadhani MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi. Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’. Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila kukicha kwani hazina maana kama kazi ya sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia kipato.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani