EMPIRE" STAR JUSSIE SMOLLETT AFUNGUKA KUWA YEYE NI SHOGA
Aliyasema hayo alivyokuwa anaojiwa na Ellen kwenye kipindi chake cha TV kwa wale wanaofuatilia Episode ya Empire jina la star huyu alieigiza kama shoga kwenye show hiyo wanampata vilivyo. Jussie kasema kweli kuwa unachokiona kwenye chow hiyo ndiyo maisha yake kwaiyo pigia mstari tu kiroho safi na maisha yaendelee. Zaidi juu ya ubuyu huu jitiririshe hapa chini kama kikoloni kinapanda utaupata ukweli wake mwenyewe bila chenga.
Jussie Smollett on the Ellen DeGeneres Show.‘Empire’ star Jussie...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Oct
Video: Jussie Smollett and Pitbull — No Doubt About It
9 years ago
Bongo526 Nov
Video: Alicia Keys na Jussie Smollett (Jamal) wakiimba ‘Powerful’ kwenye ‘Empire’
![alicia-keys-press-2014-billboard-650-c](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/alicia-keys-press-2014-billboard-650-c-300x194.jpg)
Alicia Keys na Jussie Smollett maarufu kama Jamal kwenye tamthilia ya Empire wamekutana kwenye tamthilia hiyo na kuimba wimbo “Powerful.”
Keys ameigiza kwa jina la Skye Summers.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Bongo Movies16 Jul
Steve Nyerere alia na watu wanaomzushia kuwa yeye ni shoga.
Mwenyekiti wa bongo movie Unity, Steve Nyerere amechukizwa na watu wanaotumia mitandao vibaya na kwa kumzushia kuwa ni shoga.
Steve Nyerere kupitia akaunti yake ya facebook ameandika:
Napenda kuchukua fursa hii kuongea machache na kama mtaboa mtu naomba samahani najua binadamu tumezaliwa tofauti sana kuna wale wanaogopa zambi na kunawale wanopenda zambi mimi daima nasema izo ni changamoto tuuu ok nimepata taarifa umu umu kwenye mitandao yetu ya kijamiii hususani huuu kwamba kuna binti...
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Nyota wa 'Empire' wadaiwa kuwa wapenzi
9 years ago
Bongo Movies14 Nov
JB Afunguka Kula Chakula Chenye Sumu Yeye na Steve Nyerere
Wasanii wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ na Steve Nyerere wikiendi iliyopita inasemekana walikula chakula chenye sumu,ambapo mpaka sasa Steve Nyerere bado amelazwa hospitali.
B amezungumza na 255 kupitia XXL na kusema hivi:
‘’Siku ya Ijumaa tulikula kitimoto na vyakula tofauti tofauti sasa asubuhi yake ndio tumbo likaanza kuniuma niliendesha sana nikaenda hospitali nikapewa dawa nilivyokunywa hazikunisaidia usiku wake tumbo likaniuma sijawahi kuumwa tumbo kama nilivyoumwa siku ile...
11 years ago
Michuzi01 Aug
GURU G LOVER ALONGA NA VIJIMAMBO AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ALI KIBA NI KWANINI WALISHINDWANA
![](https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/t1.0-9/301607_498423713554170_681342625_n.jpg)
![](https://scontent-b.xx.fbcdn.net/hphotos-xap1/v/t1.0-9/148204_123746221021923_1400299_n.jpg?oh=7d833f9192ab13b91ccf9d3f959600bc&oe=5437E12C)
![](https://scontent-a.xx.fbcdn.net/hphotos-xaf1/t1.0-9/546189_341377952592081_2010010420_n.jpg)
![](https://scontent-a.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/t1.0-9/377541_243961639000380_1548176228_n.jpg)
11 years ago
GPL![](https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/t1.0-9/301607_498423713554170_681342625_n.jpg)
GURU G LOVER ALONGA NA VIJIMAMBO AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ALI KIBA NI KWANINI WALISHINDWANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j-DiiE-nbb9BcO3LHbhEFEy2GyK2E5CzlTuUXgwcuvn4gvyhMPM5xmEaszXRb6pppBo0niYfnfgpNePMU9GgG*4AC3kpUidj/luluu.jpg)
LULU AFUNGUKA KUWA HAPENDI KUWA KATIKA UHUSIANO WA MAPENZI
11 years ago
BBCSwahili11 May
Mchezaji wa NFL ajitangaza kuwa shoga