Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU AFUNGUKA KUWA HAPENDI KUWA KATIKA UHUSIANO WA MAPENZI

Stori: Imelda Mtema Staa wa filamu hapa Bongo mwenye mvuto wa kipekee, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kamwe hapendi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na masharobaro akidai kuwa siku zote ni pasua kichwa ila anazimikia watu wazima waliomzidi sana umri. Staa wa filamu hapa Bongo mwenye mvuto wa kipekee, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipozi.. Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Lulu alisema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Quick Rocka akanusha kuwa na uhusiano na Kajala

Bishoo, Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu, Kajala Masanja. Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Quick amesema ana girlfriend hivyo uvumi huo unaweza ukamharibia uhusiano wake. “Nasema hapana Kajala mimi sister yangu, tunafanya naye kazi na nimeunganishwa na Lamata. Lamata ni director ninayemmfahamu zamani kidogo kipindi kile tunafanya […]

 

9 years ago

Bongo5

Future akanusha tetesi za kuwa na uhusiano na Blac Chyna!

Rapper wa Marekani, Future amevunja ukimya na kukanusha uvumi ulioenea kuwa ana uhusiano na ex na baby mama wa Tyga, Black Chyna. Siku chache zilizopita Chyna alichora tattoo ya jina la Future mkononi ambayo iliongeza uthibitisho wa tetesi za wawili hao kuwa kwenye uhusiano. Future ambaye ni ex na baba wa mtoto wa mwimbaji Ciara […]

 

10 years ago

Bongo5

Johari adai hajawai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ray

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni ‘business partner’ wa msanii mwenzake, Vicent Kigosi aka Ray, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Ray pamoja na mipango yake ya kuolewa. Akizungumza na Bongo5 leo, Johari amesema anashangazwa kuwaona watu wakivumisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray. “Mimi na Ray cha […]

 

9 years ago

Bongo5

Rose Ndauka ajibu tetesi za kuwa na uhusiano na Shetta

11208267_1018831591463131_2026634416_n

Baada ya kuenea tetesi kuwa mke wa Shetta ‘Neila Yusuf’ anadai talaka kwa mume wake kutokana na Rose Ndauka kuingilia ndoa yao, Ndauka amevunja ukimya.

11208267_1018831591463131_2026634416_n

Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Ndauka alikanusha kuwahi kuwa na uhusiano na rapper huyo.

“Kuna siku nilikuwa kwa Diamond, Mama Kayla alikuwepo, kwahiyo akawa amenifuata kunisalimia, Dareen akawa ananiambia umemuona ‘mama Kayla?’ Nikamwambia yupo wapi? akaniambia ndio huyu hapa! Nikawa nacheka nikamwambia ‘mambo’, nikamwambia nasikia...

 

11 years ago

GPL

Dalali afunguka kuhusu kuwa mwenyekiti Simba

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali. Na Khadija Mngwai
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali, ameibuka na kusema kuwa bado anajifikiria juu ya kuamua kugombea au kutogombea nafasi hiyo kwa kuwa mwenyekiti wa sasa, Ismail Aden Rage, anamaliza muda wake na ameshatangaza kutogombea tena. Simba inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu Mei nne, mwaka huu baada ya muda wa uongozi wa Rage kumalizika huku...

 

10 years ago

Bongo Movies

ETI! Johari adai hajawai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ray

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni ‘business partner’ wa msanii mwenzake, Vicent Kigosi aka Ray, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Ray pamoja na mipango yake ya kuolewa.

johari2

Akizungumza na Bongo5 leo, Johari amesema anashangazwa kuwaona watu wakivumisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray.

“Mimi na Ray cha kwanza ni mtu na swahiba wake, cha pili ni kama kaka yangu kwasababu tumekaa kwa muda mrefu sana. Tumefanya kazi kama partner...

 

10 years ago

Bongo Movies

MAPENZINI:Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na Kajala

Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu, Kajala Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Quick amesema ana girlfriend hivyo uvumi huo unaweza ukamharibia uhusiano wake.“Nasema hapana Kajala mimi sister yangu, tunafanya naye kazi na nimeunganishwa na Lamata. Lamata ni director ninayemmfahamu zamani kidogo kipindi kile tunafanya ‘Mbwa Mwitu’ tulikuwa wote, Lamatah, Hemedy! Unajua mnavyofanya movie ni tofauti na kufanya video, kwa mfano wakati tunafanya ile...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani