Sitti Tanzania Foundation inakuletea Chozi la Sitti 02.05.2015 @Mlimani City Conference Hall
![](http://3.bp.blogspot.com/-eyPN0_fzFVY/VTy79AlH-JI/AAAAAAAHTWw/coTUlPURNzo/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
Sitti Abbas Mtemvu, jina alilopewa kutoka kwa Bibi yake mzaa Baba, ambae nae wakati wa enzi zake alipewa jina hilo kutokana na umahiri wake wa kughani akifananishwa na msanii na mtunzi maarufu aliepata kutokea akiitwa Siti Binti Saad. Umahiri wa bibi ulimfanya kuwahi kushinda tuzo mbalimbali za sanaa wakati huo katika ukumbi maarufu wa burudani ulioitwa Anatoglou…….Nae alipozaliwa alipewa tunu, tunu ya jina la Sitti.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Sitti: chozi langu limenifidia
Sitti Mtemvu.
Na Imelda Mtema
SITTI Mtemvu, mrembo aliyeshinda taji la Miss Tanzania Mwaka 2014 lakini akavuliwa baada ya kubainika udanganyifu, amesema chozi lake alilomwaga siku za nyuma, limem-faidisha kwani hivi sasa anaishi kwa amani na furaha.
Akizu-ngumza hivi karibuni jijini Dar, Sitti alisema alipata maumivu makali siku alipovuliwa taji hilo, lakini alijipa moyo huku akifarijiwa na watu wake wa karibu.
“Naamini kila chozi langu lililodondoka lina faida kubwa maana imenifanya...
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Sitti aiponza Miss Tanzania
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Sitti ndiye Miss Tanzania 2014
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Sitti Mtemvu avua taji Redd’s Miss Tanzania
REDD’S Miss Tanzania Sitti Abbas Mtemvu ameamua kuvua taji la Redds Miss Tanzania alilovikwa usiku wa Oktoba 11 mwaka huu katika Ukumbi wa Mliamani City, jijini Dar es Salaam. Katika...
10 years ago
GPL13 Oct
SITTI MTEMVU ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOrQSv8I2weOw-sIRAgZmBmZYwd8-HA8YCk-W0VXvEiRdWl4PgJn1WY0v*b8AHpg2ydxWt0Y3fehZnToQ*LArB3U/1.jpg)
SITTI MTEMVU AVISHWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Sitti Mtemvu: Mimi si sababu ya Miss Tanzania kufungiwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlQix8gYlXT*181j-yqQkKAHdGTfSIqi1-f72rOWR-ppDQ5ET9ND8gslO24mjCQqkZtCL-2Xkz2FrOye8ZHhyQc7/breakingnews.gif)
SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014