Sitti: chozi langu limenifidia
Sitti Mtemvu.
Na Imelda Mtema
SITTI Mtemvu, mrembo aliyeshinda taji la Miss Tanzania Mwaka 2014 lakini akavuliwa baada ya kubainika udanganyifu, amesema chozi lake alilomwaga siku za nyuma, limem-faidisha kwani hivi sasa anaishi kwa amani na furaha.
Akizu-ngumza hivi karibuni jijini Dar, Sitti alisema alipata maumivu makali siku alipovuliwa taji hilo, lakini alijipa moyo huku akifarijiwa na watu wake wa karibu.
“Naamini kila chozi langu lililodondoka lina faida kubwa maana imenifanya...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eyPN0_fzFVY/VTy79AlH-JI/AAAAAAAHTWw/coTUlPURNzo/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
Sitti Tanzania Foundation inakuletea Chozi la Sitti 02.05.2015 @Mlimani City Conference Hall
![](http://3.bp.blogspot.com/-eyPN0_fzFVY/VTy79AlH-JI/AAAAAAAHTWw/coTUlPURNzo/s1600/unnamed%2B(33).jpg)
Sitti Abbas Mtemvu, jina alilopewa kutoka kwa Bibi yake mzaa Baba, ambae nae wakati wa enzi zake alipewa jina hilo kutokana na umahiri wake wa kughani akifananishwa na msanii na mtunzi maarufu aliepata kutokea akiitwa Siti Binti Saad. Umahiri wa bibi ulimfanya kuwahi kushinda tuzo mbalimbali za sanaa wakati huo katika ukumbi maarufu wa burudani ulioitwa Anatoglou…….Nae alipozaliwa alipewa tunu, tunu ya jina la Sitti. Haya ni machache latika kitabu chake kipya kikiitwa – Chozi la Sitti……Kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/xoCPvtfgYac/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Chozi hupenda amani
CHOZI ni moja ya jamii za ndege wanaopatikana kwa wingi katika eneo la Afrika Mashariki. Chozi pamoja na ndege mwingine ajulikanaye kwa jina la Kiingereza Spiderhunte, wanatengeneza familia ya Nectariniidae....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4z0WhgNa1*D4BZ1G4*2uS*kf3K30TN2wElkjxKp2ZJ*06pcaDR1mWHhKt0vbcETHVvkdQIn2b*25smtTUTA5l9o/okwi.jpg)
Okwi amwaga chozi akisimulia
10 years ago
Bongo Movies28 Jan
Dotnata Amwaga Chozi ‘Lokesheni’
Mwigizaji mkongwe wa filamu za kibongo, Illuminata Posh maarufu kama Dotnata, amesema alitoa machozi wakati akirekodi sinema inayohusu unyanyasaji wanaofanyiwa watoto wadogo, hasa alipobaini ukweli kuwa wanakosa mtetezi hata wa kuweza kuhisi mateso wanayokutana nayo.
“Watoto wanapata mateso sana kutoka kwa jamii inayowazunguka, wakipoteza wazazi au familia ikifarakana, wanaoumia zaidi ni wao kwani huingia mitaani na kuwa ombaomba, wanajiingiza kwenye wizi, ukahaba na ushoga. Wanafanya haya...
9 years ago
Mtanzania21 Nov
KARRUECHE ADONDOSHA CHOZI NIGERIA
ABUJA, NIGERIA
ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa RnB nchini Marekani Chris Brown, Karrueche Tran, amejikuta akidondosha chozi baada ya kukutana na watoto yatima nchini Nigeria.
Mrembo huyo alikuwa nchini humo kuongoza sherehe za Pool Party mjini Abuja, lakini aliamua kutembelea kwenye
kituo cha watoto yatima cha IDP Camp, ambapo aliwakuta watoto hao wakiwa wamevaa T-shirt zilizoandikwa
‘Bring Back Our Girls’ (‘Wasichana wetu warudishwe’) Inakumbukwa kuna wasichana wengi ambao wametekwa nchini...
10 years ago
Mwananchi14 Jun
Albino wamtoa chozi Kikwete
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Chozi la Sendeka ni la kiuzalendo au la mamba?
CHRISTOPHER ole Sendeka, ni mmoja wa wabunge niliokuwa nikiwaamini kuwa wametawaliwa na uzalendo. Hulka ya watu wa kabila lake, Wamasai ya kutokuwa wanafiki, wakiwa wanaipenda na kuiheshimu haki pamoja na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pHhBdYiNnuLB5pTNHYR08h1vL7YfYS-FpLVy2JxcexstdTMHLFDpfjPhlK13qyY9i6VXnDgN8dv4zyt85wkaATdvu2PENLL*/karruechetranetxeberriafashionshowinnewyorkcityfebruary2015_1.jpg?width=650)
KARRUECHE ATOA CHOZI KUMUONA ROYALTY