Okwi amwaga chozi akisimulia
Kiungo mshambuliaji nyota wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi. Musa Mateja na Martha Mboma KIUNGO mshambuliaji nyota wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi, ameshindwa kujizuia kumwaga machozi wakati akielezea tukio lake la kupigwa kiwiko ‘pepsi’ na beki Aggrey Morris kuwa ni la kikatili na lingeweza kumsababishia hata ulemavu kwa kuwa baada ya kuanguka alimmalizia kwa kumkita teke. Okwi, raia wa Uganda, ameliambia Championi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies28 Jan
Dotnata Amwaga Chozi ‘Lokesheni’
Mwigizaji mkongwe wa filamu za kibongo, Illuminata Posh maarufu kama Dotnata, amesema alitoa machozi wakati akirekodi sinema inayohusu unyanyasaji wanaofanyiwa watoto wadogo, hasa alipobaini ukweli kuwa wanakosa mtetezi hata wa kuweza kuhisi mateso wanayokutana nayo.
“Watoto wanapata mateso sana kutoka kwa jamii inayowazunguka, wakipoteza wazazi au familia ikifarakana, wanaoumia zaidi ni wao kwani huingia mitaani na kuwa ombaomba, wanajiingiza kwenye wizi, ukahaba na ushoga. Wanafanya haya...
11 years ago
GPLAUNT AMWAGA CHOZI UTABIRI WA KIFO CHAKE
9 years ago
GPLWEMA AMWAGA CHOZI KABURINI KWA NYERERE!
10 years ago
GPLDOTNATA AMWAGA CHOZI ‘LOKESHENI’
5 years ago
CCM BlogMBUNGE CHADEMA AMWAGA CHOZI BUNGENI NAKUOMBA HIFDHI CCM
10 years ago
Mwananchi27 Jun
Mbunge Sugu alia Dodoma, Faiza amwaga chozi Dar
10 years ago
VijimamboBENJA MWAIPAJA AMWAGA CHOZI WAKATI WA MUMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA
Benja Mwaipaja akionyesha kutokwa na chozi wakati Balozi Liberata Mulamula alipowaaga Watanzania nyumbani kwake Bethesda, Maryland siku ya Jumamosi Julai 25, 2015.
11 years ago
GPLOwino amwaga siri za Okwi