Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Owino amwaga siri za Okwi

Beki wa kimataifa wa Simba, Joseph Owino. Na Sweetbert Lukonge
BEKI wa kimataifa wa Simba, Joseph Owino amemtaka Mganda mwenzake aliyesajiliwa na Yanga hivi karibuni, Emmanuel Okwi kuachana na vitendo vya starehe ili aweze kuwa katika kiwango kizuri kwa muda wote atakaokuwa na klabu hiyo kwa kuwa hiyo ndiyo siri pekee ya mafanikio yake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Okwi amwaga chozi akisimulia

Kiungo mshambuliaji nyota wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi. Musa Mateja na Martha Mboma
KIUNGO mshambuliaji nyota wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi, ameshindwa kujizuia kumwaga machozi wakati akielezea tukio lake la kupigwa kiwiko ‘pepsi’ na beki Aggrey Morris kuwa ni la kikatili na lingeweza kumsababishia hata ulemavu kwa kuwa baada ya kuanguka alimmalizia kwa kumkita teke. Okwi, raia wa Uganda, ameliambia Championi...

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi afichua siri Simba

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (pichani) ameshangazwa na madai kuwa amechelewa kujiunga na timu hiyo wakati uongozi wake haukumwambia muda anaotakiwa kurudi.

 

11 years ago

GPL

SIRI NZITO USAJILI WA OKWI YAANIKWA

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Hans Mloli
SAKATA lililoshika hatamu katika kipindi kifupi cha nyuma ni kuhusu mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi aliyedaiwa kuwa na usajili wa utata na kusababisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumsimamisha mpaka lipate ufafanuzi kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Mchezaji huyo raia wa Uganda, alisajiliwa na Etoile du Sahel ya Tunisia akitokea Simba Januari, 2013 kwa...

 

10 years ago

GPL

Pluijm atoa siri ya Okwi kuondoka Yanga

Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Na Ibrahim Mussa
AMEMWAGA mboga! Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, ameibuka na kusema kuwa kitendo alichokifanya mshambuliaji Emmanuel Okwi cha kutimkia Simba ni sahihi kwani viongozi wa Yanga hawakuwa wakimjali kipindi anachezea timu yao. Pluijm ambaye alifanya kazi na Mganda huyo katika kikosi cha timu hiyo msimu uliopita kabla ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Kinachommaliza Owino Simba chatajwa

7NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
IMEELEZWA mvutano wa maslahi wa mara kwa mara kati ya wachezaji wa Simba SC na viongozi wao unachangia kushusha viwango vyao kutokana na kutumia muda mwingi kufuatilia haki zao badala ya kuendeleza vipaji vyao, jambo ambalo linadaiwa kummaliza beki Mganda, Joseph Owino.

Mwishoni mwa mwaka jana baadhi ya wachezaji wa kimataifa wa Simba waliujia juu uongozi wao na kutaka kulipwa stahiki zao kwa wakati, akiwemo beki mahiri Mganda, Owino, ambaye aligoma kuichezea...

 

10 years ago

TheCitizen

Simba, Owino agree terms

Tanzanian giants Simba SC have already agreed terms with Gor Mahia’s David Calabar Owino over his transfer to the club.

 

10 years ago

GPL

Kopunovic amkataa Joseph Owino

Kocha mkuu wa Simba, Goran Kopunovic. Na Nicodemus Jonas
SIKU chache baada ya beki wa kati wa Simba, Joseph Owino, kutua nchini ili kuendelea na kazi yake ya kuitumikia klabu hiyo, amekumbwa na balaa ambalo linaweza kumkosesha amani katika kipindi chake chote kilichobakia klabuni hapo. Balaa hilo linatokana na kocha mkuu wa timu hiyo, raia wa Serbia, Goran Kopunovic kudai kuwa hana mpango na mchezaji huyo katika kikosi chake...

 

10 years ago

GPL

Benchi lamuondoa Owino Simba SC

Beki wa kati wa Simba, Mganda, Joseph Owino. Na Wilbert Molandi
BENCHI limetajwa ndiyo chanzo cha beki wa kati wa Simba, Mganda, Joseph Owino kuchukua maamuzi ya kurudi kwao na kuiacha timu hiyo inayoendelea na michuano ya Kombe la Mapinduzi. Beki huyo, hivi karibuni alirejea nyumbani kwao Uganda mara baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar ambayo Simba ilifungwa bao 1-0 huku Owino akianzia benchi....

 

10 years ago

Mwananchi

Owino awa nahodha Simba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amemteua beki Joseph Owino kuwa nahodha mpya wa timu hiyo na atasaidiwa na kiungo mkongwe, Shaaban Kisiga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani