Kinachommaliza Owino Simba chatajwa
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
IMEELEZWA mvutano wa maslahi wa mara kwa mara kati ya wachezaji wa Simba SC na viongozi wao unachangia kushusha viwango vyao kutokana na kutumia muda mwingi kufuatilia haki zao badala ya kuendeleza vipaji vyao, jambo ambalo linadaiwa kummaliza beki Mganda, Joseph Owino.
Mwishoni mwa mwaka jana baadhi ya wachezaji wa kimataifa wa Simba waliujia juu uongozi wao na kutaka kulipwa stahiki zao kwa wakati, akiwemo beki mahiri Mganda, Owino, ambaye aligoma kuichezea...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Kinachoitesa Simba chatajwa
SIKU mbili tangu Rais wa klabu ya Simba, Evance Aveva alipowataka wanachama na mashabiki timu hiyo kuwa kitu kimoja katika kipindi kigumu cha timu kuvuna sare katika mechi mbili za...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX4wfW20OQ3gWb76C1XoD0HmVaL6LTPNotZbRl6be90L7RYKdVn8rJSDjeouNzEbOuaXnwNLOrEpgpkcBJAy03vB/o.jpg?width=650)
Benchi lamuondoa Owino Simba SC
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Owino awa nahodha Simba
10 years ago
TheCitizen13 Dec
Simba, Owino agree terms
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2IH5rZm6MTCT1EfhpA3dDBl-yvr1RCMaIGlPLZDvFL35Jn5jHO-6Ktq5LJGQlQcbeMR2qp3Xt5kNgMPsaDRpYNv/loga.jpg?width=650)
Loga ampeleka Owino Simba B, agoma
10 years ago
TheCitizen10 Dec
Simba welcome Kenyan defender Owino for trials
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Ivo, Cholo, Owino ruksa kuondoka Simba
10 years ago
Habarileo13 Jun
Kinachokwamisha mapato serikalini chatajwa
OFISI ya Msajili wa Hazina imesema mashirika na taasisi nyingi za umma zinatumia upungufu uliopo katika Sheria ya Msajili wa Hazina kushindwa kuwasilisha mapato yanayostahili kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali.