Loga ampeleka Owino Simba B, agoma
![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2IH5rZm6MTCT1EfhpA3dDBl-yvr1RCMaIGlPLZDvFL35Jn5jHO-6Ktq5LJGQlQcbeMR2qp3Xt5kNgMPsaDRpYNv/loga.jpg?width=650)
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Phillip Nkini KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amemwambia beki wake Joseph Owino aende akafanye mazoezi na timu B. Owino alikorofishana na kocha huyo Alhamisi iliyopita wakati wa mazoezi kwenye Uwanja wa Kinesi jijini Dar es Salaam, baada ya kudaiwa kuwa kocha huyo alimtukana. Akizungumza na Championi Jumatatu jana, Owino alisema kuwa amepewa ujumbe na meneja wa timu hiyo Nico...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania20 Jan
Kinachommaliza Owino Simba chatajwa
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
IMEELEZWA mvutano wa maslahi wa mara kwa mara kati ya wachezaji wa Simba SC na viongozi wao unachangia kushusha viwango vyao kutokana na kutumia muda mwingi kufuatilia haki zao badala ya kuendeleza vipaji vyao, jambo ambalo linadaiwa kummaliza beki Mganda, Joseph Owino.
Mwishoni mwa mwaka jana baadhi ya wachezaji wa kimataifa wa Simba waliujia juu uongozi wao na kutaka kulipwa stahiki zao kwa wakati, akiwemo beki mahiri Mganda, Owino, ambaye aligoma kuichezea...
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Owino awa nahodha Simba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX4wfW20OQ3gWb76C1XoD0HmVaL6LTPNotZbRl6be90L7RYKdVn8rJSDjeouNzEbOuaXnwNLOrEpgpkcBJAy03vB/o.jpg?width=650)
Benchi lamuondoa Owino Simba SC
10 years ago
TheCitizen13 Dec
Simba, Owino agree terms
10 years ago
TheCitizen10 Dec
Simba welcome Kenyan defender Owino for trials
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Ivo, Cholo, Owino ruksa kuondoka Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yhm*M4-7190*Y2J1KNoTFoQPPVqpqI3wAZQGTxtdOmbodkG6uf9RppUbfDHNRpxcmtc7940tj64OYdZL5qOuRX*/44.gif?width=600)
Simba yampa Loga Sh milioni 13
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Loga mabadiliko makubwa Simba
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic ‘Loga,’ juzi usiku alifanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, ikiwemo kuwaondoa kabisa kwenye kikosi cha kwanza, kipa namba moja Ivo...