Benchi lamuondoa Owino Simba SC
![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX4wfW20OQ3gWb76C1XoD0HmVaL6LTPNotZbRl6be90L7RYKdVn8rJSDjeouNzEbOuaXnwNLOrEpgpkcBJAy03vB/o.jpg?width=650)
Beki wa kati wa Simba, Mganda, Joseph Owino. Na Wilbert Molandi BENCHI limetajwa ndiyo chanzo cha beki wa kati wa Simba, Mganda, Joseph Owino kuchukua maamuzi ya kurudi kwao na kuiacha timu hiyo inayoendelea na michuano ya Kombe la Mapinduzi. Beki huyo, hivi karibuni alirejea nyumbani kwao Uganda mara baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar ambayo Simba ilifungwa bao 1-0 huku Owino akianzia benchi....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen13 Dec
Simba, Owino agree terms
10 years ago
Mtanzania20 Jan
Kinachommaliza Owino Simba chatajwa
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
IMEELEZWA mvutano wa maslahi wa mara kwa mara kati ya wachezaji wa Simba SC na viongozi wao unachangia kushusha viwango vyao kutokana na kutumia muda mwingi kufuatilia haki zao badala ya kuendeleza vipaji vyao, jambo ambalo linadaiwa kummaliza beki Mganda, Joseph Owino.
Mwishoni mwa mwaka jana baadhi ya wachezaji wa kimataifa wa Simba waliujia juu uongozi wao na kutaka kulipwa stahiki zao kwa wakati, akiwemo beki mahiri Mganda, Owino, ambaye aligoma kuichezea...
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Owino awa nahodha Simba
10 years ago
TheCitizen10 Dec
Simba welcome Kenyan defender Owino for trials
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2IH5rZm6MTCT1EfhpA3dDBl-yvr1RCMaIGlPLZDvFL35Jn5jHO-6Ktq5LJGQlQcbeMR2qp3Xt5kNgMPsaDRpYNv/loga.jpg?width=650)
Loga ampeleka Owino Simba B, agoma
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Ivo, Cholo, Owino ruksa kuondoka Simba
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Djdbvxnlf_s/VTR379iUWkI/AAAAAAAAIVE/iiMgdt6GLio/s72-c/IMG_9657.jpg)
Simba ina waganga wengi wa kienyeji kuliko idadi ya wataalamu waliopo benchi la ufundi
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/IMG_94331.jpg)
Simba waligoma kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo walipocheza na Mbeya City jumamosi iliyopita uwanja wa Sokoine
MTANDAO huu kwa muda mrefu sasa umekuwa ukifanya tafiti na kufuatilia mwenendo wa klabu ya Simba katika mechi za ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu.
Mwishoni mwa juma lililopita, Simba ilifungwa magoli 2-0 na Mbeya City fc katika uwanja wa Sokoine, Mbeya na kuifanya klabu hiyo kongwe nchini kuendelea kukaa nafasi ya tatu kwa pointi 35 walizokusanya baada ya kushuka...