Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba ina waganga wengi wa kienyeji kuliko idadi ya wataalamu waliopo benchi la ufundi



Simba waligoma kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo walipocheza na Mbeya City jumamosi iliyopita uwanja wa Sokoine
MTANDAO huu kwa muda mrefu sasa umekuwa ukifanya tafiti na kufuatilia mwenendo wa klabu ya Simba katika mechi za ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu.
Mwishoni mwa juma lililopita, Simba ilifungwa magoli 2-0 na Mbeya City fc katika uwanja wa Sokoine, Mbeya na kuifanya klabu hiyo kongwe nchini kuendelea kukaa nafasi ya tatu kwa pointi 35 walizokusanya baada ya kushuka...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RIPOTI MAALUM:WAGANGA WA KIENYEJI WANAVYOFANYA KAZI NA WACHEZAJI YANGA, SIMBA

Kuku wawili, mweusi kuzima nyota ya mpinzani, nyeupe kujing'arisha. Saleh Ally na Sweetbert Lukonge
SUALA la ushirikina katika soka limekuwa likizungumzwa kama hadithi za kufikirika, wako ambao wanasema mambo hayo hayatokei, lakini wako ambao wamekuwa wakithibitisha kuwa hali hiyo inatokea.…

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yatimua benchi la ufundi

Klabu bingwa ya soka Tanzania, Yanga imetimua benchi lake lote la ufundi kwa kile kilichoelezwa kuwa kushindwa kuleta matunda yaliyokusudiwa katika klabu hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Waganga wa kienyeji 32 watiwa mbaroni Geita

>Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia waganga wa kienyeji 32 kwa tuhuma za kupiga ramli ‘chonganishi’  zinazosababisha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, akiwamo mtoto Yohana Bahati (1) mkazi wa Kijiji cha Ilelema, Wilaya ya Chato mkoani hapa na mauaji ya vikongwe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamisemi yalaumiwa mabango waganga wa kienyeji

CHAMA cha Matabibu wa Tiba Asili nchini (ATME), kimesema kuendelea kuwepo kwa mabango ya waganga wa kienyeji, wanaopaswa kulaumiwa ni Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...

 

10 years ago

GPL

MSAKO: WAGANGA WA KIENYEJI 55 WAKAMATWA MKOANI MWANZA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola (kushoto) akionyesha baadhi ya nyara walizokutwa nazo waganga hao.…

 

5 years ago

Michuzi

Waganga wa kienyeji Tunisia wavuna kwa kuuza 'dawa ya Corona'

Katika hali ambayo hakuna dawa mjarabu ya kutibu ugonjwa wa Corona iliyotangazwa rasmi au kuidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO), lakini waganga wa kienyeji nchini Tunisia wameendelea kupata faida kubwa kutokana na mauzo ya mitishamba na dawa za kiasili wanazodai kuwa zinatibu Corona.

Katika mji mkuu Tunis, wananchi wameendelea kumiminika katika soka la jadi la Souk el-Blat lenye waganga wa kienyeji kutafuta kinga au tiba ya Corona.

Mbali na kwenda kwa waganga wa kienyeji, baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani