Waganga wa kienyeji 32 watiwa mbaroni Geita
>Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia waganga wa kienyeji 32 kwa tuhuma za kupiga ramli ‘chonganishi’ zinazosababisha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, akiwamo mtoto Yohana Bahati (1) mkazi wa Kijiji cha Ilelema, Wilaya ya Chato mkoani hapa na mauaji ya vikongwe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 Mar
Waganga 13 wa jadi watiwa mbaroni Katavi
NA WALTER MGULUCHUMA, KATAVI
JESHI la Polisi Mkoa wa Katavi, limewakamata waganga 13 wa jadi katika Tarafa ya Mamba, Wilaya ya Mlele, kwakudaiwa kufanya kazi hiyo bila vibali maalumu.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari, aliwaambia waandishi wa habari jana kwamba, waganga hao walikamatwa baada ya msako uliofanyika Machi 14 na 15 mwaka huu.
Pamoja na waganga hao kukamatwa, pia walipopekuliwa kwenye nyumba zao walikutwa na vitu mbalimbali wanavyovitumia kufanyia shughuli...
10 years ago
Habarileo03 Jan
Vijana 3 wa Geita watiwa mbaroni Dar es Salaam
VIJANA watatu waliotembea kilometa 1,114 kutoka Mkoa wa Geita hadi Dar es Salaam kwa ajili ya kuonana na Rais Jakaya Kikwete, wamekamatwa na polisi wakati wakifanya matembezi ya kwenda Ikulu.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Tamisemi yalaumiwa mabango waganga wa kienyeji
CHAMA cha Matabibu wa Tiba Asili nchini (ATME), kimesema kuendelea kuwepo kwa mabango ya waganga wa kienyeji, wanaopaswa kulaumiwa ni Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...
10 years ago
GPLMSAKO: WAGANGA WA KIENYEJI 55 WAKAMATWA MKOANI MWANZA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-zBRMwckxg30/XnDFJvIT4XI/AAAAAAALkII/Y4hYrXfBoXMTOKjZe4wvLHKjIl1rsL4VACLcBGAsYHQ/s72-c/4bv70a44aee1aa1m9pj_800C450.jpg)
Waganga wa kienyeji Tunisia wavuna kwa kuuza 'dawa ya Corona'
![](https://1.bp.blogspot.com/-zBRMwckxg30/XnDFJvIT4XI/AAAAAAALkII/Y4hYrXfBoXMTOKjZe4wvLHKjIl1rsL4VACLcBGAsYHQ/s640/4bv70a44aee1aa1m9pj_800C450.jpg)
Katika mji mkuu Tunis, wananchi wameendelea kumiminika katika soka la jadi la Souk el-Blat lenye waganga wa kienyeji kutafuta kinga au tiba ya Corona.
Mbali na kwenda kwa waganga wa kienyeji, baadhi ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OSDnqVdqkHuhZLgizn30lvi8CArjT7jWAGdwyDMC4BsN*6sgCO1Aes*L5LPPYAOhsTJ9AnCjKZFboxIiDVliSpkeAtkksBFJ/ripoti.jpg?width=600)
RIPOTI MAALUM:WAGANGA WA KIENYEJI WANAVYOFANYA KAZI NA WACHEZAJI YANGA, SIMBA
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Djdbvxnlf_s/VTR379iUWkI/AAAAAAAAIVE/iiMgdt6GLio/s72-c/IMG_9657.jpg)
Simba ina waganga wengi wa kienyeji kuliko idadi ya wataalamu waliopo benchi la ufundi
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/IMG_94331.jpg)
Simba waligoma kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo walipocheza na Mbeya City jumamosi iliyopita uwanja wa Sokoine
MTANDAO huu kwa muda mrefu sasa umekuwa ukifanya tafiti na kufuatilia mwenendo wa klabu ya Simba katika mechi za ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu.
Mwishoni mwa juma lililopita, Simba ilifungwa magoli 2-0 na Mbeya City fc katika uwanja wa Sokoine, Mbeya na kuifanya klabu hiyo kongwe nchini kuendelea kukaa nafasi ya tatu kwa pointi 35 walizokusanya baada ya kushuka...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-yueqnJZnrcE/VDITfV5mkJI/AAAAAAAAA48/kYSn1CjFRqc/s72-c/scan0003.jpg)
BALAA, NABII JEREMIAH ATANGAZA KIAMA,AWATAKA WAGANGA WA KIENYEJI WAJISALIMISHA.. ATOA SIKU 14
![](http://3.bp.blogspot.com/-yueqnJZnrcE/VDITfV5mkJI/AAAAAAAAA48/kYSn1CjFRqc/s640/scan0003.jpg)
Na Mwandishi wa MaskanibongotzKatika hali isiyokuwa ya kawaida Nabii Jerry wa kanisa la Holly Ghost Fire lilipo Mbezi Juu kwa Temba Jijini Dar ametoa mpya baada ya kuwatangazia kiama waganga wote wanaotumika kwa ushirikina pamoja na wachawi kujisalimisha kanisani kwake mara moja kabla moto wake haujatua kwenye vichwa vyao.Akiongea na waandishi wa habari mbalimbali Kanisani kwake...
10 years ago
Habarileo16 Mar
Waethiopia 63 watiwa mbaroni
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia raia 63 wa Ethiopia na maiti mmoja ambao walikuwa wakisafirishwa na dereva Mtanzania kutoka Moshi kwenda Mbeya kwa kupitia njia za panya.