Kopunovic amkataa Joseph Owino
![](http://api.ning.com:80/files/Wh6b0fkgU13YYFkhBR*Pi3-DDRv62QBJv3H4WVkD-OKHqbw4cxSjsaq-OdC2KMWJejWg9zfQjQa608QuBzch3mrK60uRWZkQ/KOPU.jpg)
Kocha mkuu wa Simba, Goran Kopunovic. Na Nicodemus Jonas SIKU chache baada ya beki wa kati wa Simba, Joseph Owino, kutua nchini ili kuendelea na kazi yake ya kuitumikia klabu hiyo, amekumbwa na balaa ambalo linaweza kumkosesha amani katika kipindi chake chote kilichobakia klabuni hapo. Balaa hilo linatokana na kocha mkuu wa timu hiyo, raia wa Serbia, Goran Kopunovic kudai kuwa hana mpango na mchezaji huyo katika kikosi chake...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nUG5sEgOjQ8/VgIZxGSTfhI/AAAAAAAH608/LpKw9GjlQWw/s72-c/st.Joseph.jpg)
St. Joseph & Forodhani ALUMNI kufanyika Jumamosi hii Septemba 26, 2015 viwanja vya St Joseph Cathedral High School jijini Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-nUG5sEgOjQ8/VgIZxGSTfhI/AAAAAAAH608/LpKw9GjlQWw/s320/st.Joseph.jpg)
St Joseph &Forodhani ALUMNI imeandaa “reunion” mkutano wa pamoja siku ya Jumamosi tarehe 26 September kwa wanafunzi...
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Sitta ‘amkataa’ Warioba bungeni
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MAMA AMKATAA BWANA’KE LULU
![](http://api.ning.com/files/p9piKYn1mVKSrhsPxBOH877sJ-WcN8QVQKyu0V8BJYyY3FlYjU7YEJw88esuPF7l-S-9sRUbajn4Tk2deYeHjZ9JeTnaVFPG/mamalulu.jpg)
Stori: Imelda Mtema/AmaniKufuatia kauli yake ya hivi karibuni kuwa nyumba anayomiliki ilitokana na mchango wa bwana’ke (hakumtaja jina), mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameibuka na kumkataa mwanaume huyo.Kwa mujibu wa Lulu, nyumba hiyo iliyopo Kimara jijini Dar ameijenga kwa kusaidiana na bwana’ke kwa mtindo wa pasu kwa pasu (kuchangia nusu kwa...
10 years ago
Bongo Movies12 Feb
Mama Amkataa Bwana Wake Lulu
Kufuatia kauli yake ya hivi karibuni kuwa nyumba anayomiliki ilitokana na mchango wa bwana’ke (hakumtaja jina), mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameibuka na kumkataa mwanaume huyo.
Kwa mujibu wa Lulu, nyumba hiyo iliyopo Kimara jijini Dar ameijenga kwa kusaidiana na bwana’ke kwa mtindo wa pasu kwa pasu (kuchangia nusu kwa nusu).Alisema kuwa anamshukuru Mungu kwani hadi hapo ilipofikia ikiwa inakaribia kumalizika ameijenga kwa nguvu zake na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVL6PIa9KsoJvb-5u9amZx-tIBsIiqRq4dEDbzxRbiUmDz5mA-QY-QGzHrj4ZfTYEgHMucZMBPaspQXM-NzTpBL9/Lulu.jpg)
MAMA AMKATAA BWANA’KE LULU
9 years ago
Habarileo14 Dec
Mbunge amkataa mganga mkuu wa wilaya
MBUNGE wa Jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe amemkataa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Emmanuel Mihayo kwa madai ya kushindwa kusimamia na kutatua matatizo mbalimbali ya watumishi wa afya, hali inayosababisha hospitali hiyo kugubikwa na migogoro dhidi ya watumishi wake.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX4wfW20OQ3gWb76C1XoD0HmVaL6LTPNotZbRl6be90L7RYKdVn8rJSDjeouNzEbOuaXnwNLOrEpgpkcBJAy03vB/o.jpg?width=650)
Benchi lamuondoa Owino Simba SC
10 years ago
Mtanzania20 Jan
Kinachommaliza Owino Simba chatajwa
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
IMEELEZWA mvutano wa maslahi wa mara kwa mara kati ya wachezaji wa Simba SC na viongozi wao unachangia kushusha viwango vyao kutokana na kutumia muda mwingi kufuatilia haki zao badala ya kuendeleza vipaji vyao, jambo ambalo linadaiwa kummaliza beki Mganda, Joseph Owino.
Mwishoni mwa mwaka jana baadhi ya wachezaji wa kimataifa wa Simba waliujia juu uongozi wao na kutaka kulipwa stahiki zao kwa wakati, akiwemo beki mahiri Mganda, Owino, ambaye aligoma kuichezea...
10 years ago
TheCitizen13 Dec
Simba, Owino agree terms