DOTNATA AMWAGA CHOZI ‘LOKESHENI’

Stori: Mwandishi wetu/Risasi Mchanganyiko MKONGWE wa filamu Bongo, Illuminata Posh maarufu kama Dotnata, amesema alitoa machozi wakati akirekodi sinema inayohusu unyanyasaji wanaofanyiwa watoto wadogo, hasa alipobaini ukweli kuwa wanakosa mtetezi hata wa kuweza kuhisi mateso wanayokutana nayo. Mkongwe wa filamu Bongo, Illuminata Posh 'Dotnata'. “Watoto wanapata mateso sana kutoka kwa jamii inayowazunguka, wakipoteza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies28 Jan
Dotnata Amwaga Chozi ‘Lokesheni’
Mwigizaji mkongwe wa filamu za kibongo, Illuminata Posh maarufu kama Dotnata, amesema alitoa machozi wakati akirekodi sinema inayohusu unyanyasaji wanaofanyiwa watoto wadogo, hasa alipobaini ukweli kuwa wanakosa mtetezi hata wa kuweza kuhisi mateso wanayokutana nayo.
“Watoto wanapata mateso sana kutoka kwa jamii inayowazunguka, wakipoteza wazazi au familia ikifarakana, wanaoumia zaidi ni wao kwani huingia mitaani na kuwa ombaomba, wanajiingiza kwenye wizi, ukahaba na ushoga. Wanafanya haya...
10 years ago
GPL
Okwi amwaga chozi akisimulia
10 years ago
GPL
WEMA AMWAGA CHOZI KABURINI KWA NYERERE!
11 years ago
GPL
AUNT AMWAGA CHOZI UTABIRI WA KIFO CHAKE
10 years ago
Mwananchi27 Jun
Mbunge Sugu alia Dodoma, Faiza amwaga chozi Dar
5 years ago
CCM Blog
MBUNGE CHADEMA AMWAGA CHOZI BUNGENI NAKUOMBA HIFDHI CCM

10 years ago
VijimamboBENJA MWAIPAJA AMWAGA CHOZI WAKATI WA MUMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA
Benja Mwaipaja akionyesha kutokwa na chozi wakati Balozi Liberata Mulamula alipowaaga Watanzania nyumbani kwake Bethesda, Maryland siku ya Jumamosi Julai 25, 2015.
11 years ago
GPL
UFUSKA LOKESHENI
11 years ago
GPL
DOTNATA AWACHANA WANAOMCHUKIA WEMA