UFUSKA LOKESHENI

STORI: ERICK EVARIST BAADHI ya wasanii wa filamu za Kibongo hivi karibuni walinaswa wakifanya vitendo vichafu katika eneo lao la kurekodia ‘location’ pande za Oysterbay jijini Dar, Ijumaa lina uthibitisho wa kutosha. Wasanii wa filamu wakipozi kwa picha tata. Kwa mujibu wa chanzo chetu wasanii hao walinaswa wakifanya vitendo hivyo vilivyo nje ya maadili ya Mtanzania kwa uwazi bila ya kumuogopa mtu yeyote. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies28 Jan
Dotnata Amwaga Chozi ‘Lokesheni’
Mwigizaji mkongwe wa filamu za kibongo, Illuminata Posh maarufu kama Dotnata, amesema alitoa machozi wakati akirekodi sinema inayohusu unyanyasaji wanaofanyiwa watoto wadogo, hasa alipobaini ukweli kuwa wanakosa mtetezi hata wa kuweza kuhisi mateso wanayokutana nayo.
“Watoto wanapata mateso sana kutoka kwa jamii inayowazunguka, wakipoteza wazazi au familia ikifarakana, wanaoumia zaidi ni wao kwani huingia mitaani na kuwa ombaomba, wanajiingiza kwenye wizi, ukahaba na ushoga. Wanafanya haya...
10 years ago
GPL
SHAMSA: NALALA NA MUME WANGU LOKESHENI
10 years ago
GPL
DOTNATA AMWAGA CHOZI ‘LOKESHENI’
11 years ago
GPL
UFUSKA!
11 years ago
GPL
UFUSKA KWENYE MALORI
11 years ago
GPL
UFUSKA WA MASTAA BONGO
11 years ago
GPL
DIAMOND AFANYA PATI YA UFUSKA!
10 years ago
GPL
MADAHA, ISABELA WAFANYA UFUSKA!
10 years ago
GPL
WASANII WANASWA KWA UFUSKA