Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFUSKA!

Stori: Waandishi Wetu
AMA kweli ufuska ni janga la kitaifa! Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, imeshafumua matukio mengi yasiyofaa kwenye jamii lakini hili la waliobambwa ‘wakiduu’ jikoni, limetia fora, Ijumaa Wikienda lina kisa cha ajabu. Tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Mwenge jijini Dar ambapo binti aliyejitambulisha kwa jina moja la Aisha alinaswa usiku wa manane akifanya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UFUSKA LOKESHENI

STORI: ERICK EVARIST
BAADHI ya wasanii wa filamu za Kibongo hivi karibuni walinaswa wakifanya vitendo vichafu katika eneo lao la kurekodia ‘location’ pande za Oysterbay jijini Dar, Ijumaa lina uthibitisho wa kutosha. Wasanii wa filamu wakipozi kwa picha tata. Kwa mujibu wa chanzo chetu wasanii hao walinaswa wakifanya vitendo hivyo vilivyo nje ya maadili ya Mtanzania kwa uwazi bila ya kumuogopa mtu yeyote.
...

 

11 years ago

GPL

UFUSKA WA MASTAA BONGO

Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja NI laana! Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya vitendo vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuska, Ijumaa Wikienda lina mkanda kamili. Baadhi ya mastaa wakionyeshana ufundi wa kucheza. Tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo maeneo ya Victoria, Dar wikiendi iliyopita ambapo kulikuwa na Kibao Kata cha mtoto wa mjini, Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’.… ...

 

11 years ago

GPL

UFUSKA KWENYE MALORI

Stori:  Issa Mnally na Dustan Shekidele, Morogoro
KILE kikosi maarufu kilichojizolea sifa kwa utenda kazi wake cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) kilicho ndani ya jumba la Magazeti Pendwa Tanzania, Global Publishers jijini Dar kinazidi kufichua uovu, twende pamoja ili kujua. Mwishoni  mwa wiki iliyopita, OFM ilitua ‘Mji Kasoro Bahari’ (Morogoro) ambapo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Morogoro, kazi kubwa...

 

10 years ago

GPL

MADAHA, ISABELA WAFANYA UFUSKA!

Stori: Imelda Mtema HAMNAZO? Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha  wamenaswa wakifanya vitendo vichafu maeneo ya Tabata jijini Dar baada ya kupiga masanga ya kutosha mwilini. Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wakijiachia. Kwa mujibu wa chanzo, Baby na Bella walifika maeneo hayo juzikati wakiwa wazima kabisa lakini baada ya kufakamia pombe kwa kasi...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AFANYA PATI YA UFUSKA!

Diamond Platnumz akimmwagia manoti Halima Kimwana. Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja
KUFURU ya kufunga mwaka! Dogo anayejua kuzitumia vyema fursa muhimu, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ amefanya yake kwa mara nyingine, safari hii amefanya pati iliyojaa ufuska, Ijumaa linaibumburua. …

 

11 years ago

GPL

WABONGO WANASWA WAKIFANYA UFUSKA!

Stori: Shakoor Jongo
ILE Oparesheni Fichua Maovu (OFM) chini ya Global Publishers, safari hii iko kimataifa zaidi ambapo wiki iliyopita ilitua huko Hong Kong, China na kunasa ufuska wa wanawake wa Kibongo wanaokwenda nchini humo kwa kigezo cha biashara kumbe wanakwenda kuuza miili. Baadhi ya mastaa wa Bongo wakikata mauno nchini China. OFM ilipata taarifa kutoka kwa chanzo chake ndipo ikatuma kachero wake nchini humo na...

 

10 years ago

GPL

WASANII WANASWA KWA UFUSKA

Brighton Masalu SHABAASH! ‘Makinda’ wawili wanao penyapenya katika sanaa ya maigizo runingani wa Kundi la Sanaa la Jakaya Theatre Arts Group, Sefu Ngao ‘Stefano’ na Vanessa Msofe wamenaswa wakifanya uchafu kwa kuoneshana mahaba mazito huku wakiwa ‘bwii’, Ijumaa Wikienda linakupa ishu nzima. Wasanii hao wakiwa katika mahaba mazito baada kulewa. Tukio la uchafu huo unaotia kichefuchefu cha...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kinondoni inaongoza kwa ufuska-Madiwani


NA RACHEL KYALA
KIKAO cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni jana kilitikiswa vikali baada ya kuzuka kwa malalamiko ya kuwepo kwa vitendo vya ufuska vilivyoshamiri katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam.
Idadi kubwa ya madiwani hao wameelezea kushuhudia na kusikitishwa na vitendo hivyo, hususan vya ngono na kuiomba serikali kutofumbia macho suala hilo walilosema linafaa kuitwa janga la kitaifa.
Madiwani hao waliyataja maeneo mbalimbali katika manispaa yao, ambayo yamekuwa...

 

11 years ago

GPL

UFUSKA BONGO MOVIE WAMKOSESHA DILI NORA

Stori:GLADNESS MALLYA
MWANADADA wa ‘long time’ kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie. Msanii Nora. Akipiga stori na paparazi wetu, Nora alisema amekuwa akitembelea katika ofi si mbalimbali
na kila anapojitambulisha kwamba ni msanii wa fi lamu watu wanashtuka na sehemu nyingine anakosa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani