Kinondoni inaongoza kwa ufuska-Madiwani
NA RACHEL KYALA
KIKAO cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni jana kilitikiswa vikali baada ya kuzuka kwa malalamiko ya kuwepo kwa vitendo vya ufuska vilivyoshamiri katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam.
Idadi kubwa ya madiwani hao wameelezea kushuhudia na kusikitishwa na vitendo hivyo, hususan vya ngono na kuiomba serikali kutofumbia macho suala hilo walilosema linafaa kuitwa janga la kitaifa.
Madiwani hao waliyataja maeneo mbalimbali katika manispaa yao, ambayo yamekuwa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
MADIWANI KINONDONI WAMPONGEZA MEYA SITTA, MKURUGENZI KAGURUMJULI KWA KUFANYA VIZURI KWENYE MIRADI YA MAENDELEO
Pongezi hizo zimetolewa na Madiwani hao wakati wa kikao cha Baraza la madiwani robo ya tatu ya mwaka ambapo wamesema kuwa katika kipindi ambacho wamekuwa madiwani wameshuhudia miradi mikubwa ambayo imetekelezwa ikiwa ni juhudi kubwa zinazofanywa na viongozi...
10 years ago
GPLMADIWANI MANISPAA YA KINONDONI WAFANYA KIKAO
5 years ago
Michuzi
MADIWANI HALMASHAURI YA KINONDONI WAIPONGEZA TARURA

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni katikati Mhe. Benjamini Sitta akiwa na Naibu Meya George Manyama na Kaimu Mkurugenzi Dk. Patricia Henjewele wakiwa katka kikao cha robo ya pili cha baraza la madiwani.

9 years ago
Mwananchi28 Nov
Madiwani wanne Chadema wajitokeza umeya Kinondoni
10 years ago
MichuziBARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Hatimaye Baraza la Madiwani la halmashauri ya manispaa ya Kinondoni laahirishwa rasmi
Rais Mstaafu wa awamu ya pili , Alhaji Ally Hassan Mwinyi, akiwasili kwenye hafla ya kuvunja baraza la madiwani la Manispaa ya Kinondoni. Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni , Yusuph Mwenda.
Na Mwandishi wetu
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeliahirisha rasmi Baraza la Madiwani ambapo mgeni rasmi katika kuahirisha Baraza hilo alikuwa mheshimiwa Rais mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi.
Shughuli hizo zilianza kwa kikao cha baraza cha kawaida cha kupokea...
10 years ago
VijimamboHATIMAE BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Alli Hassan Mwinyi, akikagua maonyesho ya kazi zinazofanywa na manispaa ya Kinondoni.
10 years ago
MichuziBARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAVUNJWA, RAIS MWINYI ALIMWAGIA SIFA
10 years ago
GPL
WASANII WANASWA KWA UFUSKA