MADIWANI HALMASHAURI YA KINONDONI WAIPONGEZA TARURA

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni katikati Mhe. Benjamini Sitta akiwa na Naibu Meya George Manyama na Kaimu Mkurugenzi Dk. Patricia Henjewele wakiwa katka kikao cha robo ya pili cha baraza la madiwani.Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Mhe. Maulid Mtulia akizungumza wakati wa kikao cha robo ya pili cha Baraza la Madiwani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI
10 years ago
VijimamboHATIMAE BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Alli Hassan Mwinyi, akikagua maonyesho ya kazi zinazofanywa na manispaa ya Kinondoni.
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Hatimaye Baraza la Madiwani la halmashauri ya manispaa ya Kinondoni laahirishwa rasmi
Rais Mstaafu wa awamu ya pili , Alhaji Ally Hassan Mwinyi, akiwasili kwenye hafla ya kuvunja baraza la madiwani la Manispaa ya Kinondoni. Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni , Yusuph Mwenda.
Na Mwandishi wetu
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeliahirisha rasmi Baraza la Madiwani ambapo mgeni rasmi katika kuahirisha Baraza hilo alikuwa mheshimiwa Rais mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi.
Shughuli hizo zilianza kwa kikao cha baraza cha kawaida cha kupokea...
5 years ago
Michuzi
madiwani Tandahimba wailalamikia tarura kuhusu ubovu wa Barabara vijijini.
Hatua hiyo wamefikia katika kikao Cha Baraza ambalo limefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Tandahimba
Aidha madiwani wamesema kuwa pamoja na jitihada zinazofanywa na Wilaya dhidi ya kuhakikisha wananchi wao pia watachangia fedha ambazo zitasaidia kununulia vifaa mbalimbali vya kujikinga na uginjea wa Corona
Mbali na Hilo...
11 years ago
Habarileo16 Mar
Madiwani wamtimua M/Kiti Halmashauri Korogwe
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga, limemng’oa mwenyekiti wake, Sadik Kalaghe kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo ya matumizi mabaya ya madaraka.
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Kinondoni inaongoza kwa ufuska-Madiwani
NA RACHEL KYALA
KIKAO cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni jana kilitikiswa vikali baada ya kuzuka kwa malalamiko ya kuwepo kwa vitendo vya ufuska vilivyoshamiri katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam.
Idadi kubwa ya madiwani hao wameelezea kushuhudia na kusikitishwa na vitendo hivyo, hususan vya ngono na kuiomba serikali kutofumbia macho suala hilo walilosema linafaa kuitwa janga la kitaifa.
Madiwani hao waliyataja maeneo mbalimbali katika manispaa yao, ambayo yamekuwa...
10 years ago
GPLMADIWANI MANISPAA YA KINONDONI WAFANYA KIKAO
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Madiwani wanne Chadema wajitokeza umeya Kinondoni
11 years ago
MichuziMh. Magufuli akutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato
Mbunge wa jimbo la Chato na waziri wa Ujenzi Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo amekutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwenye ukumbi wa Halamshauri na kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 80 za mfuko wa Jimbo kwa kila kata kwa style mpya ambapo kila diwani ametaja mahitaji yake na kupewa kiasi hicho kwa ajili ya kukamilisha miradi yenye nguvu za wa wananchi.
Tofauti na miaka mingine ambapo fedha hizo zimekuwa zikitolewa na kamati maalumu...