HATIMAE BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Alli Hassan Mwinyi, akikagua maonyesho ya kazi zinazofanywa na manispaa ya Kinondoni.Mstahiki Meya wa Manispaa ya kinondoni , Yusuph Mwenda akimkabidhi jezi ya timu ya soka ya Kinondoni Municipal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ally Hassan Mwinyi kama ishara ya kuwa mlezi wa timu hiyo
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Alli Hassan Mwinyi akimkabidhi cheti na na nishani ya utumishi uliotukuka Mstahiki Meya wa Manispaa ya kinondoni, Yusuph Mwenda...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Hatimaye Baraza la Madiwani la halmashauri ya manispaa ya Kinondoni laahirishwa rasmi
Rais Mstaafu wa awamu ya pili , Alhaji Ally Hassan Mwinyi, akiwasili kwenye hafla ya kuvunja baraza la madiwani la Manispaa ya Kinondoni. Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni , Yusuph Mwenda.
Na Mwandishi wetu
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeliahirisha rasmi Baraza la Madiwani ambapo mgeni rasmi katika kuahirisha Baraza hilo alikuwa mheshimiwa Rais mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi.
Shughuli hizo zilianza kwa kikao cha baraza cha kawaida cha kupokea...
10 years ago
VijimamboBARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA LAVUNJWA RASMI
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Idara ya Fedha na Biashara imekusanya jumla ya 5,357,849,597/- kati ya hizo 1,010,046,997/- in mapato ya ndani katika kipindi cha kuanzia mwezi Aprili hadi Julai 2014/2015.
Akisoma taarifa...
10 years ago
GPLMADIWANI MANISPAA YA KINONDONI WAFANYA KIKAO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SwZLqD0fhF8/XmAKzc6407I/AAAAAAALhEY/rKdsCSFtRVs43q4IL54zKUTdHAjtCRuxACLcBGAsYHQ/s72-c/dfb3e367-257e-4787-bcc5-27243333bc12.jpg)
MADIWANI HALMASHAURI YA KINONDONI WAIPONGEZA TARURA
![](https://1.bp.blogspot.com/-SwZLqD0fhF8/XmAKzc6407I/AAAAAAALhEY/rKdsCSFtRVs43q4IL54zKUTdHAjtCRuxACLcBGAsYHQ/s640/dfb3e367-257e-4787-bcc5-27243333bc12.jpg)
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni katikati Mhe. Benjamini Sitta akiwa na Naibu Meya George Manyama na Kaimu Mkurugenzi Dk. Patricia Henjewele wakiwa katka kikao cha robo ya pili cha baraza la madiwani.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/383e09be-d381-422c-b359-9cd04be7dbd0.jpg)
10 years ago
MichuziBARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA ILALA LAVUNJWA
11 years ago
MichuziMh. Magufuli akutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato
Mbunge wa jimbo la Chato na waziri wa Ujenzi Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo amekutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwenye ukumbi wa Halamshauri na kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 80 za mfuko wa Jimbo kwa kila kata kwa style mpya ambapo kila diwani ametaja mahitaji yake na kupewa kiasi hicho kwa ajili ya kukamilisha miradi yenye nguvu za wa wananchi.
Tofauti na miaka mingine ambapo fedha hizo zimekuwa zikitolewa na kamati maalumu...
9 years ago
MichuziRC DODOMA AZINDUA BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA KONGWA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1Dbb2lQ_wxc/XoXQTHY7vgI/AAAAAAAAI9c/P5XRKJoX7TsMezH4656EuuVoG1NY7v_9QCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200401-WA0035.jpg)
BARAZA LA MADIWANI MERU LAPENDEKEZA HALMASHAURI HIYO KUWA YA MJI
![](https://1.bp.blogspot.com/-1Dbb2lQ_wxc/XoXQTHY7vgI/AAAAAAAAI9c/P5XRKJoX7TsMezH4656EuuVoG1NY7v_9QCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200401-WA0035.jpg)
Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Meru wakifuatilia kikao chao kikiendelea kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo na kupendekeza halmashauri hiyo kuwa na hadhi ya mji picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha
![](https://1.bp.blogspot.com/-ByRcNAfXUEg/XoXQTZfjFFI/AAAAAAAAI9g/WSxcf-d4SXs8EcUPSzKWBjo8wLkh_Y1-wCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200401-WA0044.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-f4CFYXu8a6U/XoXQTTaIuBI/AAAAAAAAI9k/4vtQ8dabJ5QGSuMS_WolSxEqG-1-qPQ2gCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200401-WA0045.jpg)
Kikao kikiendelea na kupendekeza halmashauri hiyo kuwa ya Mji badala ya Sasa wilaya.
![](https://1.bp.blogspot.com/-cyFkPAamKS0/XoXQT_73fFI/AAAAAAAAI9o/ZKnr569gex4hkJ1AmPb8GgkqovNMFtd8ACLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200401-WA0046.jpg)
Mwenyekiti wa halmashauri ya Meru Akiongoza kikao cha baraza la madiwani kwenye halmashauri ya Meru akiwa na Mkurugenzi wake Emmanuel Mkongo
![](https://1.bp.blogspot.com/-5ZUbaU-KwKI/XoXQUIpVtcI/AAAAAAAAI9s/53Nfzd_5Q1U9e9EzoH8e8s-nL2dVEZR3QCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200401-WA0047.jpg)
Diwani Malula Mafie akichangia kwenye kikao hicho Cha Baraza la...