Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Magufuli akutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

Na Richard Bagolele,Chato
Mbunge wa jimbo la Chato na waziri wa Ujenzi Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo amekutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwenye ukumbi wa Halamshauri na kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 80 za mfuko wa Jimbo kwa kila kata kwa style mpya ambapo kila diwani ametaja mahitaji yake na kupewa kiasi hicho kwa ajili ya kukamilisha miradi yenye nguvu za wa wananchi.
Tofauti na miaka mingine ambapo fedha hizo zimekuwa zikitolewa na kamati maalumu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RC DODOMA AZINDUA BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA KONGWA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mhe. Chiku Gallawa (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na madiwani wapya wa Baraza la Halmashauri ya wilaya Kongwa wakati wa uzinduzi wa baraza hilo mapema wiki hii. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa baraza jipya la madiwani la hamashauri ya Wilaya Kongwa mapema wiki hii, Mhe. Gallawa alisisitiza kuongeza mapato ya halmashauri na kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Sehemu ya Watendaji na Madiwani wapya...

 

10 years ago

Michuzi

Baraza la madiwani Wilaya ya Arusha mjini lakutana kujadili bajet ya halmashauri hiyo kwa mwaka 2015/16

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi,Goodluck Ole Medeye akifafanua jambo katika kikao cha Baraza la madiwani kilichojadili bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha mjini kwa mwaka 2015/2016 ambapo kiasi cha shilingi bilioni 42.7 zimetengwa kusaidia upatikanaji wa huduma za maji,afya na elimu kama vipaumbele vikuu.Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Arusha,Fidelis Lumato,Mwenyekiti wa Halmashauri Saimon Saning`o na kaimu Mwenyekiti Anna Agatha Msuya.Kikao hicho kilifanyika...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI CHATO LATOA TUZO ZA ELIMU

Baraza la madiwani la halimashauri ya wilaya ya chato katika kikao chake robo ya nne, limetunuku vyeti, ngao na pesa Taslimu ikiwa ni pongezi kwa shule na kata zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba 2014.
Shule binafsi zilizoongoza ni shule ya msingi Kadama (Kadama English medium), ikifuatiwa na shule ya msingi Emau ( Emau english medium) zote zipo wilayani Chato. Shule za serikali zilizoongoza ni shule ya msingi Magiri iliyoshika nafasi ya kwanza, nafasi ya pili...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI

HATIMAE BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMIPosted: 08 Jul 2015 11:54 AM PDTRais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Alli Hassan Mwinyi, akikagua maonyesho ya kazi zinazofanywa na manispaa ya Kinondoni.Mstahiki Meya wa Manispaa ya kinondoni , Yusuph Mwenda akimkabidhi jezi ya timu ya soka ya Kinondoni Municipal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ally Hassan Mwinyi kama ishara ya kuwa mlezi wa timu hiyoRais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Alli Hassan...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI MERU LAPENDEKEZA HALMASHAURI HIYO KUWA YA MJI






Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Meru wakifuatilia kikao chao kikiendelea kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo na kupendekeza halmashauri hiyo kuwa na hadhi ya mji picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha


Kikao kikiendelea na kupendekeza halmashauri hiyo kuwa ya Mji badala ya Sasa wilaya.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Meru Akiongoza kikao cha baraza la madiwani kwenye halmashauri ya Meru akiwa na Mkurugenzi wake Emmanuel Mkongo
Diwani Malula Mafie akichangia kwenye kikao hicho Cha Baraza la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hatimaye Baraza la Madiwani la halmashauri ya manispaa ya Kinondoni laahirishwa rasmi

DSC_4054

Rais Mstaafu wa awamu ya pili , Alhaji Ally Hassan Mwinyi, akiwasili kwenye hafla ya kuvunja baraza la madiwani la Manispaa ya Kinondoni. Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni , Yusuph Mwenda.

Na Mwandishi wetu

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeliahirisha rasmi Baraza la Madiwani ambapo mgeni rasmi katika kuahirisha Baraza hilo alikuwa mheshimiwa Rais mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi.

Shughuli hizo zilianza kwa kikao cha baraza cha kawaida cha kupokea...

 

10 years ago

Vijimambo

HATIMAE BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI


Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Alli Hassan Mwinyi, akikagua maonyesho ya kazi zinazofanywa na manispaa ya Kinondoni.Mstahiki Meya wa Manispaa ya kinondoni , Yusuph Mwenda akimkabidhi jezi ya timu ya soka ya Kinondoni Municipal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ally Hassan Mwinyi kama ishara ya kuwa mlezi wa timu hiyoRais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Alli Hassan Mwinyi akimkabidhi cheti na na nishani ya utumishi uliotukuka Mstahiki Meya wa Manispaa ya kinondoni, Yusuph Mwenda...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATAKA UWEKEZAJI KWENYE VILIMA Na MAENEO YA WAZI

Na Ahmed Mahmoud ArushaHalmshauri ya Jiji la Arusha imeendelea kusimamia sheria za ulimaji wa mahindi na mifugo kwa maeneo ya katikati ya Jiji Ila nje ya mji bado sheria hiyo haijafika huko mfano Kata ya Teret.
Aidha Baraza hilo likataka Taarifa za mikopo ilivyotolewa na fedha zilizorejeshwa na kuainishwa vikundi na kundi maalumu walionufaika na mikopo ya vijana na kinamama.
Akiongea kwenye kikao hicho Diwani wa kata ya Muriet Mbise alisema taarifa hiyo ipo sawa hivyo waendelee na mjadala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani