BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA LAVUNJWA RASMI
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa, Amani Mwamwindi akufafanua jambo wakati wa kikao cha mwisho cha baraza hilo jana. Kulia kwake walioketi ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mh. Amina Masenza, Mkuu wa Wilaya ya Iringa Andelina Mabula akifuatia na Naibu Meya Gervas Ndaki.
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Idara ya Fedha na Biashara imekusanya jumla ya 5,357,849,597/- kati ya hizo 1,010,046,997/- in mapato ya ndani katika kipindi cha kuanzia mwezi Aprili hadi Julai 2014/2015.
Akisoma taarifa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA ILALA LAVUNJWA
10 years ago
MichuziBARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI
10 years ago
VijimamboHATIMAE BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Alli Hassan Mwinyi, akikagua maonyesho ya kazi zinazofanywa na manispaa ya Kinondoni.
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Hatimaye Baraza la Madiwani la halmashauri ya manispaa ya Kinondoni laahirishwa rasmi
Rais Mstaafu wa awamu ya pili , Alhaji Ally Hassan Mwinyi, akiwasili kwenye hafla ya kuvunja baraza la madiwani la Manispaa ya Kinondoni. Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni , Yusuph Mwenda.
Na Mwandishi wetu
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeliahirisha rasmi Baraza la Madiwani ambapo mgeni rasmi katika kuahirisha Baraza hilo alikuwa mheshimiwa Rais mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi.
Shughuli hizo zilianza kwa kikao cha baraza cha kawaida cha kupokea...
10 years ago
MichuziKIKAO CHA MWISHO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
MichuziBARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAVUNJWA, RAIS MWINYI ALIMWAGIA SIFA
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Baraza la Madiwani Iringa kufanyika bustanini
11 years ago
Michuzikikao cha baraza la madiwani chafanyika mkoani iringa leo
5 years ago
CCM BlogBARAZA LA MADIWANI LA MANISPAA YA UBUNGO LAFANYA KIKAO CHAKE CHA KAWAIDA CHA ROBO YA PILI YA MWAKA 2019/20