Baraza la Madiwani Iringa kufanyika bustanini
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Iringa Mjini kitaanza kufanya vikao vya Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa hiyo, kwenye eneo la bustani lililo wazi ili kutoa nafasi kwa wananchi kuhudhuria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA LAVUNJWA RASMI
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Idara ya Fedha na Biashara imekusanya jumla ya 5,357,849,597/- kati ya hizo 1,010,046,997/- in mapato ya ndani katika kipindi cha kuanzia mwezi Aprili hadi Julai 2014/2015.
Akisoma taarifa...
11 years ago
Michuzikikao cha baraza la madiwani chafanyika mkoani iringa leo
10 years ago
MichuziKIKAO CHA MWISHO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
Habarileo02 Aug
Mtafaruku wazuka Baraza la Madiwani
UTARATIBU wa kuchagua kamati mbalimbali za baraza la madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani, limekumbwa na mtafaruku.
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Baraza la Madiwani lamgomea waziri
BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, limemgomea Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri kuendelea...
11 years ago
Habarileo22 May
CCM Iringa yapinga madiwani kuzuru Dar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimeingia katika vuta nikuvute na Baraza la Madiwani la halmashauri hiyo, kikipinga madiwani wake kufanya ziara ya mafunzo katika mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Mtwara. Katika kupinga ziara hiyo, CCM imemuandikia barua Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Dk Leticia Warioba ikieleza sababu zake za kufanya hivyo.
9 years ago
StarTV01 Dec
Madiwani Iringa wahimizwa kutatua kero za wananchi
Baraza jipya la Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Iringa limezinduliwa rasmi huku madiwani hao wakitarajiwa kuanza mara moja kukabiliana na changamoto ya njaa inayoikabili wilaya hiyo.
Zaidi ya watu 70,000 wanakabiliwa na Baa la njaa katika vijiji 43 vya kata tisa katika wilaya hiyo huku Tarafa ya Isimani ikiwa imeathirika zaidi.
Mh.Ponsiano Kayage, mmoja wa madiwani 40 wa halmashauri hiyo wakati akiapa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Iringa katika Mkutano maalum...
11 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Baraza la madiwani lafanyika chini ya ulinzi
KIKAO cha Kamati ya Fedha na Uchumi cha Madiwani wa Halimashauri ya Jiji la Tanga, kimefanyika chini ya ulinzi wa polisi baada ya wanachama wa Chama Cha Wananchi (CUF) kuvami...
9 years ago
Habarileo08 Dec
Jiji Arusha wazindua baraza la madiwani
BARAZA la kwanza la Madiwani waliochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu katika Halmashauri ya Jiji la Arusha linatarajiwa kufanyika leo.