CCM Iringa yapinga madiwani kuzuru Dar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimeingia katika vuta nikuvute na Baraza la Madiwani la halmashauri hiyo, kikipinga madiwani wake kufanya ziara ya mafunzo katika mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Mtwara. Katika kupinga ziara hiyo, CCM imemuandikia barua Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Dk Leticia Warioba ikieleza sababu zake za kufanya hivyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Baraza la Madiwani Iringa kufanyika bustanini
9 years ago
StarTV01 Dec
Madiwani Iringa wahimizwa kutatua kero za wananchi
Baraza jipya la Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Iringa limezinduliwa rasmi huku madiwani hao wakitarajiwa kuanza mara moja kukabiliana na changamoto ya njaa inayoikabili wilaya hiyo.
Zaidi ya watu 70,000 wanakabiliwa na Baa la njaa katika vijiji 43 vya kata tisa katika wilaya hiyo huku Tarafa ya Isimani ikiwa imeathirika zaidi.
Mh.Ponsiano Kayage, mmoja wa madiwani 40 wa halmashauri hiyo wakati akiapa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Iringa katika Mkutano maalum...
10 years ago
VijimamboBARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA LAVUNJWA RASMI
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Idara ya Fedha na Biashara imekusanya jumla ya 5,357,849,597/- kati ya hizo 1,010,046,997/- in mapato ya ndani katika kipindi cha kuanzia mwezi Aprili hadi Julai 2014/2015.
Akisoma taarifa...
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Madiwani Iringa kutumia michezo kupiga vita ukimwi
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Steven Mhapa, amewataka madiwani wa kata zote za wilaya hiyo kuanzisha michezo mbalimbali kwa lengo la kutoa elimu ya ukimwi, kukuza na kuhamasisha...
11 years ago
Michuzikikao cha baraza la madiwani chafanyika mkoani iringa leo
10 years ago
MichuziVIJANA WA CCM IRINGA WAMPA NGUVU KATIBU WA MKOA HASSAN MTENGA KUKOMBOA JIMBO, LA IRINGA MJINI
KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.
CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayekaribia kumaliza muda wake.
Katika...
9 years ago
Mwananchi14 Nov
CUF yapinga rasmi ushindi wa CCM Mbagala