Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtafaruku wazuka Baraza la Madiwani

UTARATIBU wa kuchagua kamati mbalimbali za baraza la madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani, limekumbwa na mtafaruku.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza la Madiwani lamgomea waziri

BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, limemgomea Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri kuendelea...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA ILALA LAVUNJWA

 Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza katika mkutano wa madiwani wa manispaa ya Ilala uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana. Madiwani wa Manispaa ya Ilala wakiwa katika baraza la kuvunja baraza lao jana katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya viongozi wa dini ya Kikiristo na Dini ya Kiislam wakifuatilia mkutano wa kuvunjwa kwa baraza la madiwani wa Manispaa ya ilala katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo...

 

9 years ago

Habarileo

Jiji Arusha wazindua baraza la madiwani

 BARAZA la kwanza la Madiwani waliochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu katika Halmashauri ya Jiji la Arusha linatarajiwa kufanyika leo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baraza la madiwani lafanyika chini ya ulinzi

KIKAO cha Kamati ya Fedha na Uchumi cha Madiwani wa Halimashauri ya Jiji la Tanga, kimefanyika chini ya ulinzi wa polisi baada ya wanachama wa Chama Cha Wananchi (CUF) kuvami...

 

9 years ago

Mwananchi

Baraza la Madiwani Iringa kufanyika bustanini

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Iringa Mjini kitaanza kufanya vikao vya Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa hiyo, kwenye eneo la bustani lililo wazi ili kutoa nafasi kwa wananchi kuhudhuria.

 

10 years ago

Vijimambo

BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA LAVUNJWA RASMI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa,  Amani Mwamwindi akufafanua jambo wakati wa kikao cha mwisho cha baraza hilo jana. Kulia kwake walioketi ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mh. Amina Masenza, Mkuu wa Wilaya ya Iringa Andelina Mabula akifuatia na Naibu Meya Gervas Ndaki.
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Idara ya Fedha na Biashara imekusanya jumla ya 5,357,849,597/- kati ya hizo 1,010,046,997/- in mapato ya ndani katika kipindi cha kuanzia mwezi Aprili hadi Julai 2014/2015.
Akisoma taarifa...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI CHATO LATOA TUZO ZA ELIMU

Baraza la madiwani la halimashauri ya wilaya ya chato katika kikao chake robo ya nne, limetunuku vyeti, ngao na pesa Taslimu ikiwa ni pongezi kwa shule na kata zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba 2014.
Shule binafsi zilizoongoza ni shule ya msingi Kadama (Kadama English medium), ikifuatiwa na shule ya msingi Emau ( Emau english medium) zote zipo wilayani Chato. Shule za serikali zilizoongoza ni shule ya msingi Magiri iliyoshika nafasi ya kwanza, nafasi ya pili...

 

11 years ago

Habarileo

Baraza la Madiwani Arusha lawavaa walimu wakuu

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Arusha jana lilikuja juu na kutaka kauli kutolewa juu ya ni hatua gani zichukuliwe kuhusu walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari wanaowachangisha wazazi fedha kabla ya mtoto kuanza darasa la kwanza na wanaojiunga kidato cha kwanza.

 

5 years ago

Michuzi

DED Sumbawanga atahadharishwa na Baraza la Madiwani kuhusu mapato

 Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga John Msemakweli Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Mh. Kalolo Ntila.  Baadhi ya Madiwani waliohudhuria kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri kilichohusu utekelezaji wa hoja za ukaguzi na mapendekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nchini. Baadhi yaWataalamu waliohudhuria kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri kilichohusu utekelezaji wa hoja za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani