DED Sumbawanga atahadharishwa na Baraza la Madiwani kuhusu mapato
Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga John Msemakweli
Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Mh. Kalolo Ntila.
Baadhi ya Madiwani waliohudhuria kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri kilichohusu utekelezaji wa hoja za ukaguzi na mapendekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nchini.
Baadhi yaWataalamu waliohudhuria kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri kilichohusu utekelezaji wa hoja za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Apr
Madiwani wamsifu DED anayestaafu
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa limesema bado linahitaji mchango wa Mkurugenzi wa halmashauri hiyo (DED), Bibie Mnyamagola ambaye anatarajia kustaafu Aprili 30, mwaka huu kwa mujibu wa sheria.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-pjKGvXXFOHs/U5n7ePx9FZI/AAAAAAAFqL4/vszfKHRIZJ8/s72-c/DSC_0805.jpg)
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15 KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI
![](http://4.bp.blogspot.com/-pjKGvXXFOHs/U5n7ePx9FZI/AAAAAAAFqL4/vszfKHRIZJ8/s1600/DSC_0805.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Jan
Madiwani Iramba wataka Jeshi la Polisi kuwasaka waliofanya jaribio la kumuua DED kwa bomu
Katibu wa madiwani wa CCM wilaya ya Iramba na diwani wa kata ya Urughu, Simon Tyosela, akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamko lao la kulaani vikali jaribio la kutaka kumuawa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Iramba, Halima Mpita Januari 2 mwaka huu saa 1.15 asubui akiwa nyumbani kwake.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,wamelaani vikali jaribio la kutaka kumuawa kwa bomu mkurugenzi...
11 years ago
Mwananchi05 Feb
DC Rufiji aagiza madiwani kulipa kodi ya mapato
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NkjbzwV62zg/VZr5f8CDRRI/AAAAAAAHnZs/tVU7U7jMXm4/s72-c/unnamed%2B%252851%2529.jpg)
MADIWANI ULANGA WAPONGEZWA KWA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA MAPATO.
11 years ago
Habarileo02 Aug
Mtafaruku wazuka Baraza la Madiwani
UTARATIBU wa kuchagua kamati mbalimbali za baraza la madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani, limekumbwa na mtafaruku.
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Baraza la Madiwani lamgomea waziri
BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, limemgomea Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri kuendelea...
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Baraza la Madiwani Iringa kufanyika bustanini