WASANII WANASWA KWA UFUSKA
![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjO-CYrK148lrv6yols*ogg8wFWcloiE7xrOMc7FM-flFyXuUAmFlxsfRt-svuFHPLIcsqVzXdGlXg5ox-PcXQlD/ufuskacopy.jpg?width=650)
Brighton Masalu SHABAASH! ‘Makinda’ wawili wanao penyapenya katika sanaa ya maigizo runingani wa Kundi la Sanaa la Jakaya Theatre Arts Group, Sefu Ngao ‘Stefano’ na Vanessa Msofe wamenaswa wakifanya uchafu kwa kuoneshana mahaba mazito huku wakiwa ‘bwii’, Ijumaa Wikienda linakupa ishu nzima. Wasanii hao wakiwa katika mahaba mazito baada kulewa. Tukio la uchafu huo unaotia kichefuchefu cha...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtrNmnnFJkBuEoYr510x56m5I1mxBtOkDMdTKF0YOwsBu4OdaArpqSLJSjBNBO11yt4QVD2f117ikhOq4gLoUWdL/ofm.jpg?width=650)
WABONGO WANASWA WAKIFANYA UFUSKA!
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Kinondoni inaongoza kwa ufuska-Madiwani
NA RACHEL KYALA
KIKAO cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni jana kilitikiswa vikali baada ya kuzuka kwa malalamiko ya kuwepo kwa vitendo vya ufuska vilivyoshamiri katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam.
Idadi kubwa ya madiwani hao wameelezea kushuhudia na kusikitishwa na vitendo hivyo, hususan vya ngono na kuiomba serikali kutofumbia macho suala hilo walilosema linafaa kuitwa janga la kitaifa.
Madiwani hao waliyataja maeneo mbalimbali katika manispaa yao, ambayo yamekuwa...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
10 years ago
Bongo506 Feb
AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_aEVNIHNAJ8/U8FW1jeuMBI/AAAAAAAF1kQ/KEWVytqu31U/s72-c/download.jpg)
wasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha mafunzo kwa wasanii wa tanzania
![](http://3.bp.blogspot.com/-_aEVNIHNAJ8/U8FW1jeuMBI/AAAAAAAF1kQ/KEWVytqu31U/s1600/download.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RR-aBPwVDU8/VTJgSBJABBI/AAAAAAAHR1I/Ny3HiJeP8IE/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
hafla ya ugawaji wa Mirabaha kwa Wabunifu na wasanii Zanzibar - Balozi Seif aonya walaghai wa kazi za wasanii
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alionya kwamba wananchi wanalazimika kujenga utamaduni wa kuthamini kazi za wabunifu na wasanii kwa kuona fahari kuzilipia bila ya shuruti pale wanapozitumia jambo ambalo ni uungwana na kinyume chake inahesabika kuwa ni wizi. Alisema Serikali kupitia Ofisi ya Hakimiliki, Bodi ya Hakimiliki na Jumuiya ya Hakimiliki Zanzibar { COSOZA } itaendelea kusimamia kazi za wabunifu na wasanii ili kuona kuwa maslahi,...
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Wanaswa kwa kula maiti ya mtoto
11 years ago
Habarileo03 Jun
Watumishi 11 wa Serikali wanaswa kwa mihadarati
WATUMISHI 11 wa vitengo vinavyodhibiti dawa za kulevya, wamekamatwa au kuhusishwa na biashara ya dawa za kulevya katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yalisemwa bungeni mjini hapa jana na Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati akijibu swali la Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile (CCM).
11 years ago
Habarileo15 Jul
Wanaswa kwa tuhuma ya kuiba maji ya Dawasa
WAKAZI watatu wa Dar es Salaam jana walikamatwa na polisi kwa tuhuma ya kujiunganishia maji ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) kinyume cha sheria.