UFUSKA KWENYE MALORI

Stori: Issa Mnally na Dustan Shekidele, Morogoro KILE kikosi maarufu kilichojizolea sifa kwa utenda kazi wake cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) kilicho ndani ya jumba la Magazeti Pendwa Tanzania, Global Publishers jijini Dar kinazidi kufichua uovu, twende pamoja ili kujua. Mwishoni mwa wiki iliyopita, OFM ilitua ‘Mji Kasoro Bahari’ (Morogoro) ambapo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Morogoro, kazi kubwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UFUSKA!
11 years ago
GPL
UFUSKA LOKESHENI
11 years ago
GPL
UFUSKA WA MASTAA BONGO
11 years ago
GPL
WABONGO WANASWA WAKIFANYA UFUSKA!
11 years ago
GPL
DIAMOND AFANYA PATI YA UFUSKA!
10 years ago
GPL
WASANII WANASWA KWA UFUSKA
10 years ago
GPL
MADAHA, ISABELA WAFANYA UFUSKA!
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Kinondoni inaongoza kwa ufuska-Madiwani
NA RACHEL KYALA
KIKAO cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni jana kilitikiswa vikali baada ya kuzuka kwa malalamiko ya kuwepo kwa vitendo vya ufuska vilivyoshamiri katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam.
Idadi kubwa ya madiwani hao wameelezea kushuhudia na kusikitishwa na vitendo hivyo, hususan vya ngono na kuiomba serikali kutofumbia macho suala hilo walilosema linafaa kuitwa janga la kitaifa.
Madiwani hao waliyataja maeneo mbalimbali katika manispaa yao, ambayo yamekuwa...
11 years ago
GPL
UFUSKA BONGO MOVIE WAMKOSESHA DILI NORA