Wasanii SHIWATA kumpa Magufuli ufagio wa chuma
Na Mwandishi Wetu
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeamua kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano, John Magufuli la kufanya usafi nchini siku ya sherehe za Uhuru 9/12/2015 kufagia, kulima, kuzoa taka na kusafisha maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana Dar es Salaam kuwa usafi huo utaanzia makao makuu yao Ilala Bungoni, soko la Ilala,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mmachinga Complex, Soko la Mitumba Karume,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzimtandao wa wasanii tanzania (Shiwata) kugawa viwanja bure kwa wanachama wake mkuranga
WILAYA ya Mkuranga katika mkoa wa Pwani imepanga kupeleka Mwenge wa uhuru katika kijiji cha wasanii kilichopo MWANZEGA, Mkuranga Julai 22, mwaka huu, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Cassim Taalib amesema
Bw. Taalib kasema kuwa mwenge utapokelewa kutoka wilaya ya Rufiji katikia kijiji cha Kiparang’anda na baadaye utakwenda moja kwa moja katika kijiji cha wasanii na wanamichezo cha Mwanzega ambako utawasili saa 7 mchana.
Alisema kutokana na ujio wa ugeni huo mkubwa SHIWATA...
9 years ago
MichuziSHIWATA kugawa nyumba 14 Mkuranga, yampongeza Dkt. Magufuli kumteua Majaliwa Waziri Mkuu
Mwenyekiti wa SHIWATA,Cassim Taalib alisema jana Dar es Salaam jana kuwa mkutano huoutakaofanyika Ilala, Bungoni Dar es Salaam kuanzia saa 4 pia watatangazwa viongozi watakaoshika nafasi za uongozi zilizo wazi.
Nafasi za uongozi zilizo wazi ni Makamu Mwenyekiti iliyokuwa ikishikiliwa na ...
5 years ago
MichuziPROF.NYAGORI ASHAURI TAASISI ZA AFYA KUMPA TUZO RAIS MAGUFULI KUTOKANA NA MAPAMBANO YA CORONA
DAKTARI Mshauri Mwandamizi wa Magonjwa ya Ndani na Moyo, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ambaye pia ni Mhadhiri wa vyuo vikuu mbali mbali vya tiba, Profesa Harun Nyagori ameshauri taasisi za vyuo vikuu vya Afya nchini Tanzania, pamoja na Shirika la Afya Duniani (WHO), kumpatia tuzo maalumu ya heshima, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kwa ajili ya kutambua mchango wake katika kupambana na janga la Corona.
Akizungumza na...
9 years ago
MichuziMAGUFULI AMJULIA HALI NA KUMPA POLE MEYA WA JIJI LA MBEYA MH ATHANAS KAPINGA BAADA YA KUPATA AJALI
9 years ago
Dewji Blog30 Aug
Magufuli azidi kuchanja mbuga, awataka wananchi waweke imani kubwa kwake na kumpa kura nyingi za ushindi
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Njombe mjini katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jioni ya jana katika uwanja wa saba saba.Magufuli amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataendeleza juhudi zake za kujenga barabara kwa kiwango cha lami,amesema dhamira yake aliokuwa nayo ya Uwaziri wa Ujenzi katika kujenga barabara za lami katika maeneo yote hapa nchini.
Amesema tangu...
9 years ago
MichuziMAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA,AWATAKA WANANCHI WAWEKE IMANI KUBWA KWAKE NA KUMPA KURA NYINGI ZA USHINDI
Amesema tangu kupewa...
5 years ago
CCM BlogKIGOMA WAAHIDI KUMPA RAIS DK. MAGUFULI ASANTE YA KURA ZA KISHINDO 2020 KWA DHAMIRA YAKE YA KUFUFUA ZAO LA MICHIKICHI MKOANI HUMO
Tumekuwa kwa zao hilo na hata wazazi wetu wamesoma shule kwa zao hilo ambalo kwa miaka ya nyuma ndio lilikuwa zao kubwa sana na ndio maana kwenye kila kaya ndani ya mkoa wa Kigoma huwezi ukakosa kukuta mashine ya kukamua mawese kwa...
9 years ago
Bongo Movies02 Nov
Dr. Magufuli Awashukru Wasanii
HAIKUWA kazi rahisi katika kuusaka urais kwa awamu ya tano kila chama kilitumia mbinu katika kuhakikisha kinaibuka kidedea, na hatimaye Dr. John J Pombe Magufuli kuteuliwa kuwa rais wa awamu ya tano, mh. Rais mteule amewashukru wasanii kwa support yao wakati wa kampeni.
“Nawashukru sana wasanii kwa mchango wenu tulikuwa wote katika kampeni nimeona mchango wenu, kiukweli mmenibeba na nitahakikisha haki zenu zinalindwa na kuwa na mfuko wa wasanii ambao naamini utakuwa msaada kwenu”,anasema...
9 years ago
Habarileo21 Dec
Wasanii wamfagilia Magufuli
WASANII wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ wamepongeza jitihada za Rais John Magufuli katika kuondoa uozo kwenye sekta mbalimbali na kuonesha imani kuwa hata katika sekta ya sanaa atawaondolea changamoto mbalimbali na kuwaletea mabadiliko.