Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dr. Magufuli Awashukru Wasanii

HAIKUWA kazi rahisi katika kuusaka urais kwa awamu ya tano kila chama kilitumia mbinu katika kuhakikisha kinaibuka kidedea, na hatimaye Dr. John J Pombe Magufuli kuteuliwa kuwa rais wa awamu ya tano, mh. Rais mteule amewashukru wasanii kwa support yao wakati wa kampeni.

“Nawashukru sana wasanii kwa mchango wenu tulikuwa wote katika kampeni nimeona mchango wenu, kiukweli mmenibeba na nitahakikisha haki zenu zinalindwa na kuwa na mfuko wa wasanii ambao naamini utakuwa msaada kwenu”,anasema...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wasanii wamfagilia Magufuli

WASANII wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ wamepongeza jitihada za Rais John Magufuli katika kuondoa uozo kwenye sekta mbalimbali na kuonesha imani kuwa hata katika sekta ya sanaa atawaondolea changamoto mbalimbali na kuwaletea mabadiliko.

 

9 years ago

Habarileo

Wasanii kufaidika na Magufuli akiwa rais

MGOMBEA Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dk John Magufuli amesema kuwa akichaguliwa kuongoza nchi atahakikisha wasanii na wachezaji wanafaidika na kazi yao.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli amkabidhi Nape wanamichezo, wasanii

RAIS John Magufuli amemteua Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo. Wakati wa kampeni zake za urais, Rais Magufuli mara kadhaa alikaririwa akisema atakuwa mstari wa mbele kuwasaidia wanamichezo na wasanii katika masuala mbalimbali wakati wa utawala wake.

 

9 years ago

Michuzi

Wasanii SHIWATA kumpa Magufuli ufagio wa chuma

Na Mwandishi Wetu
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeamua kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano, John Magufuli la kufanya usafi nchini siku ya sherehe za Uhuru 9/12/2015 kufagia, kulima, kuzoa taka na kusafisha maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana Dar es Salaam kuwa usafi huo utaanzia makao makuu yao Ilala Bungoni, soko la Ilala,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mmachinga Complex, Soko la Mitumba Karume,...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wasanii Mjipange kwa Magufuli la Sivyo Itakula Kwenu

TANZANIA imepata rais mpya wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye ameanza kazi rasmi huku Afrika Mashariki ikitegemea mabadiliko makubwa kutoka kwake. Kwenye tasnia ya filamu za Bongo kuna changamoto kubwa na zinazohitaji ufumbuzi makini.

Awamu ya nne chini ya Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alijitahidi kuangazia kila sekta hasa burudani waliokuwa na utaratibu na kujua mahitaji yao sahihi walifaidika kwa kupewa kitu walichohitaji.

Kwa bahati mbaya inawezekana waliofaidika moja kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Steve Nyerere: Nilimwambia Magufuli kuwasaidia wasanii wa filamu ni kupoteza pesa

11351837_431015323755764_1594616645_n

Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Club, Steve Nyerere amesema aliulizwa kwa zaidi ya mara sita na Rais Dk John Magufuli kuhusu nsaada wanaouhitaji, lakini amedai alishindwa kumjibu kutokana na wasanii wengi kutojitambua.

11351837_431015323755764_1594616645_n

Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV, Steve alisema alimwambia Magufuli asipoteze pesa ya serikali kuwasaidia wasanii wa filamu.

“Sikatai,” alisema Steve. “Nilishamwambia mheshimiwa rais, utapoteza pesa zako, nilisha mwambia mstaafu na huyu mpya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wasanii wamuaga Dr. Jakaya Kikwete na kumkaribisha Dr. John Pombe Magufuli Mlimani City

1

Rais Dr. Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kupitia CCM wakati alipowasili Mlimani City jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni kilichondaliwa na Muungano wa wasanii Kumshukuru Mh. Dr. Jakaya Kikwete kwa jinsi alivyowasaidia katika uongozi wake wa miaka 10 kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kumkaribisha Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wasanii wa Bongo Movie waibukia mjini Iringa, watangaza kutembea nchi nzima kwa Bajaj kumuunga mkono Dkt. Magufuli

Baadhi ya Wasanii nyota wa Filamu hapa nchini wakiongozwa na Jacob Steven a.k.a JB wakiwa wamenyanyua juu mikono yao kwa pamoja ni Ushindi sambamba na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (wa tatu kushoto),kuonesha kuwa wasanii hao wanamuunga mkono Dkt Magufuli katika mbio zake za kuusaka Urais kwa kutembea nchi nzima kutumia Bajaji zao tano,ambapo Bajaj mojawapo itakuwa na kazi ya kukusanya kadi za wale wanaomua kurudi/kujiunga na chama cha CCM.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-IRINGA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani