Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAMISA APANGUA MSURURU WA WANAUME

Stori: Musa Mateja
MODO maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho hakina ukweli wowote. “Nazushiwa tu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Msururu wa ubakaji: Mwanamume akamatwa kwa kuwabaka wanawake 40 Nigeria

Polisi nchini Nigeria wanasema mwanamume huyo alipatikana akijificha katika chumba cha watoto lakini majirani walimkamata akijaribu kutoroka.

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

11 years ago

GPL

HAMISA AMUANIKA MCHUMBA WAKE

MAHABA niue! Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto ameamua kumwanika mwandani wake baada ya kumuweka kwenye mitandao ya kijamii  huku akimmwagia sifa kemkem. Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto akila ujana na mpenzi wake. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili baada ya kuvutiwa waya, Hamisa alisema mwanaume huyo ni mtu ambaye anampenda sana na wana malengo ya kuoana muda wowote...

 

10 years ago

GPL

HAMISA ABWATUKA KISA MABUZI

Stori:MUSA MATEJA MWANAMITINDO kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto amepangua tuhuma ambayo amekuwa akitupiwa na  watu wanaomuona aking’aa kisha kudai anatumia mgongo wa wanaume tofautitofauti (mabuzi). Mwanamitindo kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema amekuwa akisikitishwa na tabia hiyo ya watu kumnanga kwenye mitandao ya kijamii kuwa anatupia picha nyingi...

 

10 years ago

GPL

HAMISA USISTADUU SINA TENA, NALEA

Mwanamitindo ambaye miezi michache iliyopita alibahatika kupata mtoto wa kike, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ amefunguka kuwa kwa sasa mambo ya usistaduu ameyaweka kando, anachokifanya ni kushika nafasi ya umama na kumlea mwanaye.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1UGM5uf

 

11 years ago

GPL

HAMISA MABETO: NINA UTAALAM NA NYOKA

Stori: Musa Mateja
MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amefunguka kuwa, licha ya baadhi ya wasichana wenzake kutokuwa na ujasiri wa kucheza na nyoka, yeye anao. Mrembo aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ Akipiga stori na Ijumaa, Mabeto alisema awali alikuwa muoga lakini taratibu alianza...

 

10 years ago

GPL

HAMISA MABETO AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Mwanamitindo kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto (kushoto) akiwa na mimba kabla ya kujifungua kulia ni mtoto wake wa kike.
Hamisa Mobeto akiwa katika pozi. MWANAMITINDO kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto amejifungua mtoto wa kike hivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti  na wafanyavyo mastaa wengine. Mtandao huu tunampa hongera… ...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Sheni apangua mawaziri, Ma-RC



Na mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni, amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri pamoja na wakuu wa mikoa na wilaya. Mabadiliko hayo yanalenga kuendelea kuimarisha utendaji wa shughuli za serikali na tayari jana, amewaapisha wateule wote katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar. Walioapishwa jana ni Dk. Sira Ubwa Mamboya, ambaye anakuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili. Aliyekuwa Waziri wa Afya, Juma Duni Haji, amebadilishwa kwenda kuongoza Wizara ya Miundombinu...

 

10 years ago

Habarileo

IGP apangua makamanda

Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Ernest ManguINSPEKTA Jenerali wa Polisi, IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa (RPC).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani