ODAMA AJIFUNGUA KIDUME
Stori: Imelda Mtema HABARI njema! Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amejifungua kidume huku akikataa kumtaja baba wa mtoto huyo. Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’. anayedaiwa kwamba ni mheshimiwa serikalini. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu makini, Odama alijifungua kwa operesheni hivi karibuni kwenye Hospitali ya Kairuki jijini Dar baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMARY MAWIGI AJIFUNGUA KIDUME KWA KISU
Msanii wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi.
Gladness Mallya
Msanii wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi hivi karibuni amejifungua mtoto wa kiume kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Mico iliyopo Sinza jijini. Akizungumza na Ijumaa, Mary alisema kuwa ana furaha sana ya kupata mtoto kwani ni kitendo alichokisubiri kwa muda mrefu na Mungu amemjaalia. “Nina furaha sana kwa maana mtoto ni baraka ambayo nilikuwa nikiisubiri...
10 years ago
GPLKIDUME WA MA - MC WA KIKE ANASWA
Stori:Richard Bukos
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Yona Nathal, mkazi wa Ubungo ya River Side jijini Dar es Salaam, Jumanne iliyopita alijikuta katika timbwili zito na kundi la washereheshaji maarufu wa kike Dar ‘ma -MC’ baada ya kubainika kuwachanganya kimapenzi. Yona Nathal akiwa chini ya ulinzi wa polisi. AWEKEWA MTEGO
Ilidaiwa kuwa Yona ameshawatokea baadhi ya ma-MCÂ hao kwa nyakati tofauti na...
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Uganda kidume Chalenji 2015
Timu ya Uganda imethibitisha ubora wake unaoifanya iwe kinara wa soka kwa nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kulingana na viwango vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) inakoshika nafasi ya 68 duniani baada ya kutwaa Kombe la Chalenji mwaka 2015.
11 years ago
GPLSAFINA APONGEZWA KUZAA KIDUME
Na Hamida Hassan
MCHEKESHAJI maarufu Bongo wa Kipindi cha Mizengwe kinachorushwa kupitia Runinga ya ITV, Jessica Kindole ‘Safina’ amepongezwa kwa kujifungua salama mtoto wa kiume. Mchekeshaji maarufu Bongo wa Kipindi cha Mizengwe, Jessica Kindole ‘Safina’ Akizungumza na paparazi wetu, Safina aliyejifungua katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar hivi karibuni, alisema amepokea pongezi nyingi kutoka kwa...
10 years ago
GPLALIYEZAA NA NAY ANASWA NA KIDUME UGANDA
Gladness Mallya
KABAANG! Zilipendwa wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amezua gumzo la aina yake baada ya kunaswa na ‘kidume’ kingine nchini Uganda. Zilipendwa wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilichowafuatilia wawili hao hatua kwa hatua, mpango mzima ulianzia jijini Mwanza...
10 years ago
Vijimambo15 Dec
JAJA, COUTINHO, EMERSON WADHIHIRISHA SI KILA MBRAZIL ANAJUA KUCHEZA MPIRA…KIIZA BADO ‘KIDUME’
Na Shaffih Dauda, Dar es salaam.
YANGA SC wamekuwa wateja wa Simba katika mechi mbili za ‘Nani Mtani Jembe’.Desemba 21 mwaka jana walifungwa mabao 3-1 na Mnyama Simba na jana walitandikwa mabao 2-0.Katika mechi ya jana, wachezaji wa kigeni wa Yanga walikuwa Emerson Oliveira, Andrey Coutinho, Kpah Sherman, Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima.Hamis Friday Kiiza tayari walishamtoa, lakini cha kuwashauri Yanga ni kufanya kila wawezalo kumbakisha Mganda huyu kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa...
YANGA SC wamekuwa wateja wa Simba katika mechi mbili za ‘Nani Mtani Jembe’.Desemba 21 mwaka jana walifungwa mabao 3-1 na Mnyama Simba na jana walitandikwa mabao 2-0.Katika mechi ya jana, wachezaji wa kigeni wa Yanga walikuwa Emerson Oliveira, Andrey Coutinho, Kpah Sherman, Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima.Hamis Friday Kiiza tayari walishamtoa, lakini cha kuwashauri Yanga ni kufanya kila wawezalo kumbakisha Mganda huyu kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa...
10 years ago
GPLODAMA AMKANA PEDESHEE
Stori: Mayasa Mariwata Si kweli! Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekanusha vikali madai ya kutembea na pedeshee mmoja anayedaiwa kuwa ni mmiliki wa baa moja iliyopo maeneo ya River-Side, Ubungo jijini Dar. Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama'. Baada ya kusomewa madai hayo ambayo yamesambaa kwenye mitandao ya kijamii, Odama alikanusha vilivyo na kusema wanamsingizia tu.“Hee!...
9 years ago
GPLMTOTO AMTESA ODAMA
Imelda Mtema Mateso! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ametiririka kwamba katika kipindi chote alichokuwa mikoani kwa ajili ya Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) alikuwa akiteseka kila alipopiga simu kujua hali ya mtoto wake ambapo ilikuwa siyo chini ya mara saba kwa siku. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Odama alifunguka kuwa alikuwa akipitia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania