REDCROSS TANGA YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MAJI TIRIRIKA UWANJA WA MKWAKWANI TANGA
MENEJA wa uwanja wa CCM Mkwakwani Nasoro Makau kulia akitokea msaada wa vifaa vya maji tiririka kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania Mkoani Tanga (Red Cross) Ester Wiliam ambavyo vitatumika kuwekwa milangoni kwa ajili ya watazamaji wanaoingia kwenye uwanja huo kushuhudia michezo mbalimbali kuweza kunawa mikono ikiwa ni mapambano dhidi ya Covid 19 kulia ni Mratibu wa Shirika hilo Sada Kombo.
MENEJA wa uwanja wa CCM Mkwakwani Nasoro Makau akinawa mikono mara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTANGA CEMENT (PLC) WATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA COVID -19 TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kulia akipokea msaada wa vifaa kinga kwa ajili ya kusaidia mapambano ya virusi vya Covid 19 kwa ajili ya Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na Jeshi la Polisi Mkoa huo kutoka kwa Mtendaji Mkazi wa Kiwanda cha Tanga Saruji cha Cement PLC Mhandisi Benedict Lema kushoto wanaoshuhudia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Judica Omari kulia na kushoto Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Blasius Chatanda
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kulia akipokea msaada wa...
5 years ago
MichuziODO UMMY FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA TAASISI ZA DINI JIJINI TANGA
MKUU wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kulia akizungumza wakati akishukuru Taasisi ya Odo Ummy Foundation kwa msaada ndoo 120 na sabuni 60 ikiwemo vifaa vyake vya
kuwekea ndoo hizo ili kuwawezesha kuzitumia katika kuhakikisha wanajikinga na
maambukizi hayo ambayo kwa sasa yamekuwa yakilitikisha dunia katikati
ni Katibu wa Taasisi ya Odo Ummy Foundation Khatibu Kilenga
Katibu wa Taasisi ya Odo Ummy Foundation Khatibu Kilenga kulia akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias...
5 years ago
MichuziTANGA UWASA YATOA VIFAA 85 VITAKAVYOTUMIKA KWA AJILI YA USAFI MKOANI TANGA
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly kulia akimkabidhi vifaa vya 85 vitakavyotumika kwa ajili ya usafi kwenye wilaya tatu zilizopo mkoani Tanga Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto ili viweze kusambazwa maeneo mbalimbali ikiwemo masokoni,hospitalini na stendi sambamba na kujenga masinki ya kunawia mikono kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Judica Omari na Meneja wa Ruwasa Mkoa wa Tanga Upendo Lugongo na wa...
10 years ago
MichuziMABONDIA KUZIPIGA KESHO JUMAPILI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-XFePXIEXH4g/Ur8PM8zr9nI/AAAAAAACYEk/fBAJFZaNf4A/s640/IMG_8404.jpg)
ROSE MUHANDO AWAKUNA WAKAZI WA TANGA UWANJA WA MKWAKWANI LEO
5 years ago
MichuziTAASISI YA ODO UMMY FOUNDATION YATOA VIFAA VYA USAFI KWA TAASISI KUBWA ZA DINI JIJINI TANGA
9 years ago
StarTV23 Nov
Uharibifu Vyanzo Vya Maji Mto Zigi vya waweza kusababisha tatizo la maji Tanga
Mamlaka ya majisafi na majitaka Tanga UWASA imesema uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vya mto Zigi unaweza kusababisha jiji hilo kuingia kwenye tatizo la maji.
Tayari Mamlaka hiyo imeanzisha Umoja wa Wakulima hifadhi Mazingira Kihuwhi Zigi, UWAMAKIZI kama harakati ya kukabiliana na uchimbaji wa madini, kilimo na ukataji wa miti kwa ajili ya mbao.
Jiji la Tanga hutegemea maji ya mto zigi kama chanzo pekee cha maji na shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya mto huo huenda...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lL2zlv-9190/XrUyw2XExWI/AAAAAAALpeY/jqf-MEZi6D8ywW_3smkW0HcB3Y6wqKv5QCLcBGAsYHQ/s72-c/6d92ec28-72f4-46f2-8e07-8e14b96d4b25.jpg)
RC TANGA APOKEA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 20.4 KUTOKA TANGA CEMENT KWA AJILI KUKABILIANA NA CORONA
Mwandishi Wetu, Michuzi TV -Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amepokea misaada yenye thamani ya jumla ya Shilingi milioni 20.4 kutoka Kampuni ya Tanga Cement kwa ajili ya kukabiliana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo mkoani hapa, Shigile amesema kuwa kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo wanaishukuru kampuni hiyo kwa namna ilivyoguswa katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
"Kama...
10 years ago
Vijimambo![](https://1.bp.blogspot.com/-sU77cMO-6Zo/VR-J2BlFGSI/AAAAAAAADp0/MX5i76j68gY/s72-c/MWAZOA.jpg)
NGUMI KUFANYIKA MKWAKWANI TANGA MEI 2
![](https://1.bp.blogspot.com/-sU77cMO-6Zo/VR-J2BlFGSI/AAAAAAAADp0/MX5i76j68gY/s400/MWAZOA.jpg)
Bondia Alen Kamote wa Tanga atapanda uringoni mei 2 katika uwanja wa mkwakwani tanga kukabiliana na Emilio Norfat katika mpambano wa raundi 12 mbali na mpambano uho siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mengine makala moja ya mpambano wenye mvuto zaidi ni kati ya bondia mwenye makazi yake mkoa wa Morogoro Cosmas Cheka atakaekabiliana na Said Mundi kutoa mkoa wa tanga
promota wa mpambano uho Ally Mwazoa aliongeza kwa kusema mbali na mapambano hayo kutakuwa na mapambano mengine...