Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvutano watawala uchaguzi wa meya Iringa

Mchuano wa kumpata meya wa Manispaa ya Iringa kupitia Chadema umechukua sura mpya baada ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa kura za maoni uliokuwa umepangwa kufanyika juzi, kutokana na kuwapo mvutano mkali wa wagombea ndani ya chama hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Utulivu watawala uchaguzi Zanzibar

IMG_4639NORA DAMIAN NA SARAH MOSSI, ZANZIBAR

UPIGAJI kura za uchaguzi mkuu jana umefanyika kwa amani Visiwani Zanzibar, licha ya kuwapo kwa kasoro ndogondogo.

Vituo vingi vya kupigia kura vilianza shughuli zake saa moja asubuhi na wananchi walijitokeza kwa wingi kwa ajili ya kuwachagua viongozi wanaowapenda.

Jana MTANZANIA ilitembelea vituo vya Shule ya Msingi Bungi, Jimbo la Tunguu, Mkoa wa Mjini Magharibi, Shule ya Maandalizi ya Msingi Kiembesamaki, Mtoni Kidatu na Malindi na kushuhudia wananchi...

 

5 years ago

CCM Blog

MEYA IRINGA ANG'OLEWA

  Baraza la Madiwani la Manispaa ya Iringa limemwondoa Meya wa Manispaa ya iringa-Chadema Alex Kimbe baada ya kupiga kura ya kutokuwa na imani nae kufuatia tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka
Kimbe ambaye anatokana na chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema ameng’olewa madarakani leo Jumamosi Machi 28, 2020 katika kikao maalum cha madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo.
Akitangaza matokeo ya kura zilizopigwa, mwenyekiti wa kikao ambaye pia ni Naibu...

 

5 years ago

CCM Blog

MEYA MANISPAA YA IRINGA ALIYENG'OLWA AKABIDHI OFISI

  Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe amesema atakabidhi ofisi na gari la meya leo Jumanne asubuhi baada ya kukamilisha taratibu za kiofisi.
Kimbe ametoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kutaka kujua kwanini anaendelea na kazi licha ya kuondolewa madarakani siku chache zilizopita.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Hamid Njovu amesema kanuni zinamtaka meya huyo kuondoka ofisini ndani ya siku 30 na hivyo anatakiwa kukabidhi ofisi na gari mara...

 

5 years ago

Michuzi

MWAROBAINI WA BARABARA MANISPAA YA IRINGA WAPATIKANA-KAIMU MEYA RYATA

Kaimu Meya wa Manispaa ya Iringa Joseph Nzala Ryata akiwa katika mtaa wa Kihodombi manispaa ya Iringa akizindua mkakati wa kukarabati wa barabara za manispaa ya Iringa mara baada ya mvua kupungua

Katapila likiwa katika mtaa wa Kihodombi likisembua Barabara ya mtaa huo ikiwa ni siku ya uzinduzi wa mkakati wa Halmashauri ya manispaa ya Iringa.
********************************

NA FREDY MGUNDA, IRINGA.

Kaimu Meya wa Manispaa ya Iringa Joseph Nzala Ryata amezindua rasmi mkakati maalum wa...

 

9 years ago

Habarileo

Chadema wavutana uchaguzi wa Meya

MVUTANO umezuka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupinga uongozi wa juu wa chama hicho kuahirisha uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Jiji la Arusha uliotakiwa kufanyika Ijumaa iliyopita.

 

9 years ago

Mwananchi

Ngumi zatawala uchaguzi wa meya Tanga

Kikao cha Baraza la Madiwani wa Jiji la Tanga cha kumchagua meya na naibu wake, jana kiliishia kwa wajumbe kutwangana ngumi mara mbili.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA IRINGA YAONDOA ZUIO LA KUPINGA MCHAKATO WA MADIWANI KUMNG'OA MEYA ALEX KIMBE NAFASI YAKE KWA TUHUMA MBALIMBALI

Na Francis Godwin, Iringa 
MAHAKAMA ya hakimu mkazi  Iringa  imeondoa mahakamani hapo   shauri  dogo namba 5 la mwaka  2020 lililofikishwa katika mahakama hiyo na  mstahiki meya wa Halmashauri ya Manispaa ya  Iringa kupitia  chama  cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA ) Alex  Kimbe  ya kupinga mchakato wa  madiwani  wa chama cha mapinduzi (CCM) kutoka  kumung'oa katika nafasi yake ya umeya kwa  tuhuma  mbali mbali zikiwemo za matumizi mabaya ya madaraka.
Akisoma    hukumu  ya kesi hiyo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wake wa meya walio jela washinda uchaguzi

Wake 2 wa meya wawili wa upinzani waotumikia kifungo cha jela nchini Venezuela wameshinda uchaguzi na kuwarithi waume zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani