MEYA MANISPAA YA IRINGA ALIYENG'OLWA AKABIDHI OFISI
![](https://1.bp.blogspot.com/-g2i-0dkqSIk/XoMs-2epwNI/AAAAAAAC2JQ/CHn97PvSFh8GM1ucO06UBzANocHstQQDQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe amesema atakabidhi ofisi na gari la meya leo Jumanne asubuhi baada ya kukamilisha taratibu za kiofisi.
Kimbe ametoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kutaka kujua kwanini anaendelea na kazi licha ya kuondolewa madarakani siku chache zilizopita.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Hamid Njovu amesema kanuni zinamtaka meya huyo kuondoka ofisini ndani ya siku 30 na hivyo anatakiwa kukabidhi ofisi na gari mara...
CCM Blog