MAHAKAMA IRINGA YAONDOA ZUIO LA KUPINGA MCHAKATO WA MADIWANI KUMNG'OA MEYA ALEX KIMBE NAFASI YAKE KWA TUHUMA MBALIMBALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-dKfI1FkFCRw/Xn4nRNP6kfI/AAAAAAALlVI/e6baoVGoscsPUN9fpfK5vVyJk1Cu0yFRACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200327_120911_3.jpg)
Na Francis Godwin, Iringa
MAHAKAMA ya hakimu mkazi Iringa imeondoa mahakamani hapo shauri dogo namba 5 la mwaka 2020 lililofikishwa katika mahakama hiyo na mstahiki meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA ) Alex Kimbe ya kupinga mchakato wa madiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) kutoka kumung'oa katika nafasi yake ya umeya kwa tuhuma mbali mbali zikiwemo za matumizi mabaya ya madaraka.
Akisoma hukumu ya kesi hiyo...
Michuzi