Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachina wavutana bandari ya Dar

UJENZI wa gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam umechelewa kutokana na sababu tatu, ikiwamo ya mzozo wa kampuni mbili za Kichina zilizowahi kusababisha mvutano kwa waliokuwa mawaziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Dk Athumani Mfutakamba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KURA YA MAONI: Ukawa wavutana Dar

>Kitendo cha Chama cha Wananchi (CUF) kufanya uchaguzi wa Kura za Maoni katika majimbo ya Kawe na Ubungo yanayoshikiliwa na wabunge wa Chadema, kimeibua hisia tofauti miongoni mwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

10 years ago

Mwananchi

Wachina waja kuipanga Dar

Dar es Salaam ni moja ya majiji yanayokua kwa kasi barani Afrika kutokana na kasi ya ujenzi wa majengo ya kisasa, kupanuka na kuongezeka kwa idadi ya watu.

 

10 years ago

Michuzi

KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM CHAWASILI KATIKA BANDARI YA DAR LEO ASUBUHI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli kushoto akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki Meli kubwa ya mizigo iliyobeba Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam ilipokuwa inakaribia kutia nanga katika bandari ya Dar es Salaam.Taaswira ya Kivuko cha MV Dar es Salaam kama kinavyoonekana juu ya Meli kabla ya kushushwa majini katika bandari ya Dar es Salaam.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha furaha yake ndani ya Kivuko hicho cha MV Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...

 

11 years ago

Dewji Blog

Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya Jamuhuri ya Watu wa China (CHEC)

119

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei.

121

Muwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Bandari ya China Bwana Xu Xinpei akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. Bwana Xu Xinpei ameelezea azma ya Kampuni yake kutaka kuwekeza katika sekta na Bandari na Hoteli ya Kimataifa ya Kitalii hapa Zanzibar.

006

Balozi wa Malawi...

 

10 years ago

Mtanzania

TAKUKURU watua bandari Dar

Na Masyaga Matinyi, Dar es Salaam
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) imeanzisha uchunguzi kubaini mianya ya rushwa na ukiukwaji wa taratibu katika mradi wa ujenzi wa mlango wa Bandari ya Dar es Salaam (Gerezani Creek).
Mradi huo ulisainiwa Septemba 6, 2014 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Joseph Msambichaka na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Madeni Kipande, ambaye amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yake.
Kipande alisimamishwa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Hadhi Bandari ya Dar haitabadilika’

Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu amesema pamoja na kujengwa kwa bandari kubwa ya Bagamoyo, hadhi ya Bandari ya Dar es Salaam itabaki kama ilivyo.

 

10 years ago

Michuzi

wahariri walipotembelea bandari ya dar es salaam

 Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Kimataifa cha Makasha (TICTS), Bw. Paul Wallace wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari katika bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni.  Wahariri hao walitembelea maeneo mbalimbali katika bandari hiyo.Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga (kulia) akiwaelezea jambo wahariri wa vyombo vya habari katika bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni.  Wahariri...

 

10 years ago

Mwananchi

Ushauri wa PAC utainusuru Bandari Dar

Ushauri uliotolewa juzi na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kwamba kuna umuhimu wa kujenga mabomba ya mafuta kutoka katika Bandari ya Dar es Salaam kuelekea mikoani ni wa kupongeza, ingawa umechelewa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani