Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushauri wa PAC utainusuru Bandari Dar

Ushauri uliotolewa juzi na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kwamba kuna umuhimu wa kujenga mabomba ya mafuta kutoka katika Bandari ya Dar es Salaam kuelekea mikoani ni wa kupongeza, ingawa umechelewa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

PAC yaikalia kooni Mamlaka ya Bandari

>Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imepokea ripoti ya ukaguzi maalumu uliofanywa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu  Sh26 bilioni  zinazotia shaka, ambazo ni matumizi yaliyofanywa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

 

10 years ago

Mtanzania

PAC yaamuru vigogo Bandari wakatwe mishahara

Pg 3 jan 16Fredy Azzah
WATUMISHI wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamebainika kujilipa mamilioni ya posho kwa ajili ya safari kwa takribani miaka mitatu, bila kibali cha Msajili wa Hazina kama taratibu zinavyotaka.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeagiza menejimenti ya TPA kuwakata mishahara wafanyakazi wote ambao kwa nyakati tofauti wamelipwa fedha hizo.
Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe alisema kwa safari za ndani ya nchi, TPA imekuwa ikilipa watumishi wake posho ya Sh...

 

10 years ago

Michuzi

KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM CHAWASILI KATIKA BANDARI YA DAR LEO ASUBUHI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli kushoto akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki Meli kubwa ya mizigo iliyobeba Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam ilipokuwa inakaribia kutia nanga katika bandari ya Dar es Salaam.Taaswira ya Kivuko cha MV Dar es Salaam kama kinavyoonekana juu ya Meli kabla ya kushushwa majini katika bandari ya Dar es Salaam.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha furaha yake ndani ya Kivuko hicho cha MV Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...

 

10 years ago

Habarileo

Nape: Ukweli utainusuru CCM isife

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape NnauyeCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kama viongozi na wanachama watashindwa kuambiana ukweli juu ya mustakabali wa chama hicho, upo uwezekano mkubwa wa chama hicho kufa.

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi mgumu utainusuru Wami Mbiki inayoteketea-2

Wiki iliyopita tulianza kuwaletea Ripoti Maalumu kuhusu namna ya kulinusuru Pori la Wami Mbiki, leo tunaendelea

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA PAC YAENDELEA NA KAZI YAKE LEO JIJINI DAR

katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo mbele ya kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wa vikao vya kamati za Bunge vinavyoendelea katika Ofisi za Bunge jijini Dar es SalaamNaibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchuguzi Monica Mwamunyange (katikati) akiwa na baadhi ya Watendaji wa Wizara hiyo pamoja na Maafisa kutoka Mamlaka ya bandari (TPA) mbele ya kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wa kikao cha kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum wa matumizi ya fedha za mamlaka hiyo kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya Jamuhuri ya Watu wa China (CHEC)

119

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei.

121

Muwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Bandari ya China Bwana Xu Xinpei akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. Bwana Xu Xinpei ameelezea azma ya Kampuni yake kutaka kuwekeza katika sekta na Bandari na Hoteli ya Kimataifa ya Kitalii hapa Zanzibar.

006

Balozi wa Malawi...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Hadhi Bandari ya Dar haitabadilika’

Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu amesema pamoja na kujengwa kwa bandari kubwa ya Bagamoyo, hadhi ya Bandari ya Dar es Salaam itabaki kama ilivyo.

 

11 years ago

Habarileo

Wachina wavutana bandari ya Dar

UJENZI wa gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam umechelewa kutokana na sababu tatu, ikiwamo ya mzozo wa kampuni mbili za Kichina zilizowahi kusababisha mvutano kwa waliokuwa mawaziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Dk Athumani Mfutakamba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani