PAC yaamuru vigogo Bandari wakatwe mishahara
Fredy Azzah
WATUMISHI wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamebainika kujilipa mamilioni ya posho kwa ajili ya safari kwa takribani miaka mitatu, bila kibali cha Msajili wa Hazina kama taratibu zinavyotaka.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeagiza menejimenti ya TPA kuwakata mishahara wafanyakazi wote ambao kwa nyakati tofauti wamelipwa fedha hizo.
Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe alisema kwa safari za ndani ya nchi, TPA imekuwa ikilipa watumishi wake posho ya Sh...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Ushauri wa PAC utainusuru Bandari Dar
10 years ago
Mwananchi02 Nov
PAC yaikalia kooni Mamlaka ya Bandari
9 years ago
Mtanzania05 Dec
Vigogo walivyotafuna Bandari
>> Maofisa wafunguka waeleza jinsi ‘Wakubwa’ walivyotumia kampuni za mifukobi, vimemo kupitisha makontena
>> Faili la majina yao latua mikononi mwa Waziri Mkuu, malori yapungua barabarani
Na Waandishi Wetu
VIGOGO na watu wakubwa wenye ushawishi serikalini wakishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wametajwa katika orodha aliyokabidhiwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kama wahusika wakuu wa kupitisha kinyemela makontena takribani 2,780 na kukwepa kodi inayokadiriwa kuzidi Sh bilioni...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Vigogo Bandari kizimbani
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA), Ephraim Mgawe na naibu wake, Hamad Koshuma, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Kodi ya mishahara yapungua kiduchu, mishahara juu
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya Jamuhuri ya Watu wa China (CHEC)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei.
Muwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Bandari ya China Bwana Xu Xinpei akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. Bwana Xu Xinpei ameelezea azma ya Kampuni yake kutaka kuwekeza katika sekta na Bandari na Hoteli ya Kimataifa ya Kitalii hapa Zanzibar.
Balozi wa Malawi...
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Korti yaamuru maiti kufukuliwa
MGOGORO wa kugombea mwili wa marehemu, Stephen Assei (52) umechukua sura mpya baada ya askari polisi wenye silaha za moto wakiwemo askari kanzu kusimamia zoezi la ufukuaji wa kaburi na...
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mahakama yaamuru Maiti ifukuliwe
MGOGORO wakugombea Mwili wa mzee Cleophas Senga (80) Mkazi wa Chanji, Wilayani hapa, mkoani Rukwa, umechukua sura mpya baada ya Jeshi la Polisi kufukua maiti ya mzee huyo kwa amri...
10 years ago
Habarileo22 Sep
Mahakama yaamuru maiti afukuliwe
MAHAKAMA ya Ardhi na Nyumba Wilaya ya Arusha, imeamuru maiti aliyezikwa wiki iliyopita afukuliwe na kuzikwa eneo lingine katika Kijiji cha Ngaramtoni wilayani Arumeru, kutokana na mgogoro wa ardhi.