Wazee Chadema wasema Kuhama kwa Kingunge kusiwe sababu ya kumkebehi
Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA limekemea tabia ya kukebehi na kudhihaki kitendo alichokifanya kada mkongwe wa CCM Kingunge Ngombale Mwiru cha kukihama Chama hicho na kudai kuwa kila Mtanzania ana uhuru wa kujiamulia masuala yake binafsi.
Wamedai kuhama chama kusipokelewe kama dhambi bali ni ukomavu wa mtu katika demokrasia.
Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Chadema Rodriki Rutembeka anazungumza na waandishi kuhusu hali halisi inavyoendelea tangu Mzee Kingunge...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Wazee wa Chadema wampongeza Kingunge
9 years ago
Mwananchi05 Oct
UVCCM wamjibu Kingunge, wasema kakosa uungwana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/3ydo-rPuK9q57jTSLWP4uXVje4mdGosItszDWP-fqFuTyzLnzp*J7HRPKUxiPNQ256-Bmvs*xRh8*e79h891vqOLrRV5fuGL/latemarriageoldmanyoungerwoman.jpg?width=650)
SABABU YA WANANDOA VIJANA KUHAMIA KWA WAZEE HII HAPA
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Walemavu, wazee, wasanii wasema ‘asante JPM’
10 years ago
Habarileo29 Mar
Kafulila: Sina sababu ya kuhama NCCR-Mageuzi
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila, ambaye ni Katibu Mwenezi wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amesema hana sababu yoyote ya kuhama chama chake na kujiunga na chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania).
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hWlzQcV6-Do/U1EZIO5mZaI/AAAAAAAFbrA/ndXgyRvXiLU/s72-c/unnamed.jpg)
SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI GOOD NEWS! TANGAZAO LA KUHAMA OFISI
9 years ago
Vijimambo05 Oct
SABABU ZILIZOPELEKEA KINGUNGE AJITOE CCM
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/kingunge.jpg)
Alitangaza kuachana na siasa za chama tawala jana nyumbani kwake Kijitonyama, jijini Dar es Salaam, akidai hatua yake inatokana na CCM kutofuata na kuheshimu Katiba. “Kuanzia leo,(jana) naachana na CCM kwa sababu siwezi kuhimili chama kinachoendeshwa bila kuheshimu Katiba, Katiba...
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
Chadema Monduli wasema wao wataanza na elimu
![](http://4.bp.blogspot.com/-RKXuArEJTBU/VhQakzZAjgI/AAAAAAAAhl4/mtBWm8VxfEI/s640/IMG_20151003_175230.jpg)
Mgombea udiwani monduli mjini kwa Tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Izak Joseph akihutubia mamia ya wakazi wa mji wa Monduli juzi katika viwanja vya soko la alhamis wakati akizindua rasmi kampeni za mgombea huyo.
Wagombea Udiwani na Ubunge jimbo la Monduli kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametaja sekta ya elimu kuwa moja ya vipaumbele watakapofanikiwa kushinda uchaguzi mkuu ujao.
Akihutubia mkutano wa kampeni mjini Monduli juzi, mgombea ubunge...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar01 Oct
CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]
The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.