Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee wa Chadema wampongeza Kingunge

Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limempongeza Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kwa kuachana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na upande wa mabadiliko kikisema ni jambo la kuigwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wazee Chadema wasema Kuhama kwa Kingunge kusiwe sababu ya kumkebehi

Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA limekemea tabia ya kukebehi na kudhihaki kitendo alichokifanya kada mkongwe wa CCM Kingunge Ngombale Mwiru cha kukihama Chama hicho na kudai kuwa kila Mtanzania ana uhuru wa kujiamulia masuala yake binafsi.

Wamedai kuhama chama kusipokelewe kama dhambi bali ni ukomavu wa mtu katika demokrasia.

Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Chadema Rodriki Rutembeka anazungumza na waandishi kuhusu hali halisi inavyoendelea tangu Mzee Kingunge...

 

10 years ago

Mwananchi

Baraza jipya la Wazee Chadema laibana Serikali

Baraza jipya la wazee la Chadema limeanza kazi kwa kuitaka Serikali kutangaza ratiba ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Baraza la Wazee Chadema lapata Mwenyekiti mpya

SAFU mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kukusanya wazee 500 Dar es Salaam, Pwani leo

Wakati Ukawa ikiendelea na ziara yake mikoani, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeandaa Kongamano la Wazee zaidi ya 500 kutoka Kanda ya Pwani na Dar es Salaam leo kwa lengo la kuendeleza ushawishi kuhusu muundo wa Serikali.

 

10 years ago

GPL

CHADEMA KUFANYA KONGAMANO LA WAZEE HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO, DAR LEO

 Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana mchana, kuhusu kongamano litakalo wakutanisha wazee wote bila kujali itikadi za vyama vyao litakalo jadili mustakabali wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu litakalofanyika  leo ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo jijini Dar es Salaam.  Makamu...

 

10 years ago

Dewji Blog

CHADEMA yaandaa kongamano la wazee, kufanyika kesho Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Jijini Dar

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu kongamano litakalo wakutanisha wazee wote bila kujali itikadi za vyama vyao litakalo jadili mustakabali wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu litakalofanyika  kesho ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo jijini Dar es Salaam.

Makamu  Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA APEWA UCHIFU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA WAZEE WA KANDA YA PWANI


Wazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab Uloleulole kwa niaba ya Wazee wa Pwani wakimtazama Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa baada ya kumvisha nguo za kimila na kumkabidhi silaha za jadi ikiwa ni ishara ya kumtawaza kuwa Chifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani na kumpatia jina la Chifu Mwinyikambi

Mzee Mwinyijuma Said Muhigira akimkabidhi Katibu Mku wa CHADEMA Dkt. Willibroad Saa usinga, mundu na shoka ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uchifu wa Mkoa wa Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA YAANDAA KONGAMANO LA WAZEE, KUFANYIKA KESHO HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu kongamano litakalo wakutanisha wazee wote bila kujali itikadi za vyama vyao litakalo jadili mustakabali wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu litakalofanyika  kesho ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo jijini Dar es Salaam. Makamu  Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana. Kushoto ni Kelvin Yondan, akijiandaa kutoa msaada.

MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-

YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani