Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la Wazee Chadema lapata Mwenyekiti mpya

SAFU mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu amjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde, nyumbani kwake, Uzunguni jijini Dodoma, May 19, 2020, ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Mwananchi

Baraza jipya la Wazee Chadema laibana Serikali

Baraza jipya la wazee la Chadema limeanza kazi kwa kuitaka Serikali kutangaza ratiba ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

JIJI LA MBEYA LAPATA MEYA MPYA DAVID MWASILINDI (CHADEMA) DIWANI KATA YA NZOVWE

Meya Mteule wa jiji la Mbeya Diwani wa Kata ya Nzovwe(CHADEMA) Ndugu David Mwasilindi ambaye aliibuka kidedea kwa kupata kura 34 dhidi ya Mpinzani wake wa CCM aliyepata kura 14 katika uchaguzi uliofanyika Desemba 10 katika ukumbi wa Mkapa jijini humo. Katibu Tawala Wilaya ya Mbeya Ndugu Quip Mbeyela ambaye ndiye aliyekuwa Mwenyekiti katika Kikao cha Baraza la Madiwani ambacho kiliketi kufanya uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji hilo pamoja na Naibu Meya katika Halmashauri ya jiji la Mbeya . 

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU BARAZA LA VIJANA TAIFA CHADEMA AKABIDHI KADI KWA MWENYEKITI WA KIJIJI

Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Julius Mwita (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, Mwenyekiti wa Kijiji cha Udomo Kata ya Uchama Jimbo na Wilaya ya Bukene mkoani Tabora, Julius Lubala, baada ya kurudisha kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chadema katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI BWANA NDIYE MWENYEKITI MPYA BARAZA LA CHUO KIKUU HA BAGAMOYO (UB)



Na Mwandishi Wetu

BODI ya Wadhamini ya Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), imemteua  Jaji wa Mahakama ya Rufaa nchini, Dk.Stephen Bwana Kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la chuo hicho.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), Mikocheni Dar Es Salaam, Dk.William Kudoja alisema  Bodi ya Wadhamini ya chuo hicho ambayo Inaongozwa na Professa Paramaganda Kabudi Ndiyo ilimteua Jaji Bwana kushika wadhifa huo mpya baada ya kuona Ana sifa za vigezo Vya...

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Salome B. Misana Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Salome B. Misana (pichani) kuwa Mwenyekiti  mpya wa Bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi  na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC).  Profesa Misana ni Mhadhiri Mwandamizi toka Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Uteuzi huo umeanza rasmi tarehe 4/12/2014.
Wakati huo huo , Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira,  Dkt.  Binilith Mahenge amewateua Wajumbe  wa Bodi hiyo . Walioteuliwa ni Profesa Reuben...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza Wete lapata dola 800,000

BARAZA la Mji la Wete limepokea msaada wa dola 800,000 kutoka Benki ya Dunia kupitia Wizara ya Fedha Zanzibar kwa ajili ya uboreshaji wa soko la Wete. Akizungumza na Tanzania...

 

10 years ago

GPL

BARAZA LA WATOTO WENYE ULEMAVU TAIFA LAPATA VIONGOZI, WAKUTANA NA WABUNGE DODOMA!

Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Dodoma, Yohana Dominic akizungumza. Hajra Sadru akitoa dukuduku lake. Mtoto Eric Gembe akieleza jinsi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani