Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza jipya la Wazee Chadema laibana Serikali

Baraza jipya la wazee la Chadema limeanza kazi kwa kuitaka Serikali kutangaza ratiba ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Baraza la Wazee Chadema lapata Mwenyekiti mpya

SAFU mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.

 

5 years ago

Michuzi

WAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE

Baraza la Wazee mkoa wa Shinyanga limeipongeza Serikali ya mkoa huo, kupunguza tatizo la mauaji ya wazee pamoja na watu wenye ualbino, ambao walikuwa akiuawa kwa sababu ya imani potofu za kishirikina.


Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu.  Akisoma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza jipya laiva

MAANDALIZI ya kufanya mabadiliko katika Baraza jipya la Mawaziri yamekamilika, kinachosubiriwa ni kwa Rais Jakaya Kikwete kutangaza majina yao kati ya leo na kesho, Tanzania Daima limedokezwa. Habari za uhakika...

 

9 years ago

GPL

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

TAIFA liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi iliyopita alitangazwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais dhidi ya wenzake saba lakini tayari Wabongo wanaumiza vichwa kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri la Magufuli. Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli.  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (Nec), ilimtangaza Dk. Magufuli kuwa mshindi mbele...

 

9 years ago

TZToday

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LATANGAZWA

 

Jumla ya wizara ni 18 , Mawaziri ni 19.

Wizara ya Mambo ya Nje na EAC/ Kimataifa
- Augustino Mahiga, Naibu Waziri - Dk. Suzan Kolimba

Wazara wa Utamaduni, Sanaa na michezo
Waziri-Nape Nnauye

Wizara ya Nishati na Madini
Waziri -Sospeter Muhongo na Naibu Waziri-Medard Kalemani

Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri -Jenista Mhagama

Wizara ya ofisi ya Rais, Utumishi na utawala
mawaziri wawili - Simbachawene na Kairuki

Ofisi ya Makamu wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Baraza jipya la mawaziri laiva

pombeNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Dk. John Magufuli, wakati wowote anatarajiwa kutangaza Baraza la Mawaziri baada ya kukamilisha wiki kadhaa za kuchuja majina ya wanaofaa kuwa mawaziri.

Hatua hiyo inakuja baada ya jana kukutana faragha kwa saa moja na Waziri Mkuu wake Kassim Majaliwa katika kikao kilichofanyika ofisini kwa waziri huyo.

Katika kile kinachoonekana ni tofauti na marais waliopita, ambao wengi wao walikuwa wakifuatwa ofisini, hali imekuwa tofauti kwa Dk. Magufuli ambaye...

 

11 years ago

Mwananchi

Baraza jipya la mawaziri ‘litafikiri tofauti?

Rais Jakaya Kikwete hatimaye amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kwa kuwatupa nje mawaziri watano na kuwateua wengine 10 wapya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Baraza jipya la mawaziri latangazwa Nigeria

Orodha ya mawaziri katika serikali ya rais Muhammadu Buhari iliyosubiriwa kwa hamu sasa imetangazwa na spika wa bunge la seneti la Nigeria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza jipya la mawaziri, Rais Kikwete amechemka

HONGERENI mawaziri na naibu mawaziri mlioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuongoza nafasi hizo. Siku zote naamini taifa linajengwa katika misingi ya uwajibikaji ulio thabiti na si tofauti na hapo. Naamini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani