Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza jipya la mawaziri latangazwa Nigeria

Orodha ya mawaziri katika serikali ya rais Muhammadu Buhari iliyosubiriwa kwa hamu sasa imetangazwa na spika wa bunge la seneti la Nigeria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

TZToday

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LATANGAZWA

 

Jumla ya wizara ni 18 , Mawaziri ni 19.

Wizara ya Mambo ya Nje na EAC/ Kimataifa
- Augustino Mahiga, Naibu Waziri - Dk. Suzan Kolimba

Wazara wa Utamaduni, Sanaa na michezo
Waziri-Nape Nnauye

Wizara ya Nishati na Madini
Waziri -Sospeter Muhongo na Naibu Waziri-Medard Kalemani

Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri -Jenista Mhagama

Wizara ya ofisi ya Rais, Utumishi na utawala
mawaziri wawili - Simbachawene na Kairuki

Ofisi ya Makamu wa...

 

9 years ago

GPL

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

TAIFA liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi iliyopita alitangazwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais dhidi ya wenzake saba lakini tayari Wabongo wanaumiza vichwa kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri la Magufuli. Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli.  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (Nec), ilimtangaza Dk. Magufuli kuwa mshindi mbele...

 

9 years ago

Mtanzania

Baraza jipya la mawaziri laiva

pombeNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Dk. John Magufuli, wakati wowote anatarajiwa kutangaza Baraza la Mawaziri baada ya kukamilisha wiki kadhaa za kuchuja majina ya wanaofaa kuwa mawaziri.

Hatua hiyo inakuja baada ya jana kukutana faragha kwa saa moja na Waziri Mkuu wake Kassim Majaliwa katika kikao kilichofanyika ofisini kwa waziri huyo.

Katika kile kinachoonekana ni tofauti na marais waliopita, ambao wengi wao walikuwa wakifuatwa ofisini, hali imekuwa tofauti kwa Dk. Magufuli ambaye...

 

11 years ago

Mwananchi

Baraza jipya la mawaziri ‘litafikiri tofauti?

Rais Jakaya Kikwete hatimaye amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kwa kuwatupa nje mawaziri watano na kuwateua wengine 10 wapya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza jipya la mawaziri, Rais Kikwete amechemka

HONGERENI mawaziri na naibu mawaziri mlioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuongoza nafasi hizo. Siku zote naamini taifa linajengwa katika misingi ya uwajibikaji ulio thabiti na si tofauti na hapo. Naamini...

 

9 years ago

Raia Mwema

Baraza jipya la mawaziri, mkorogo usio hamasa kwa mabadiliko

RAIS John Pombe Magufuli (JPM) amekwishaunda Wizara 18 za Serikali yake na kutangaza mawaziri wa

Joseph Mihangwa

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ...: RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AAPISHA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI IKULU DAR

Rais Jakaya Kikwete. Rais Jakaya Kikwete ameanza kuapisha Baraza Jipya la Mawaziri lililotangazwa jana katika viwanja vya Ikulu jijini Dar!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani