Chadema kukusanya wazee 500 Dar es Salaam, Pwani leo
Wakati Ukawa ikiendelea na ziara yake mikoani, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeandaa Kongamano la Wazee zaidi ya 500 kutoka Kanda ya Pwani na Dar es Salaam leo kwa lengo la kuendeleza ushawishi kuhusu muundo wa Serikali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA APEWA UCHIFU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA WAZEE WA KANDA YA PWANI
Wazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab Uloleulole kwa niaba ya Wazee wa Pwani wakimtazama Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa baada ya kumvisha nguo za kimila na kumkabidhi silaha za jadi ikiwa ni ishara ya kumtawaza kuwa Chifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani na kumpatia jina la Chifu Mwinyikambi
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-6PYgabvs3-k/VJhd2c3GdsI/AAAAAAAAVEE/MPom1pyITGI/s72-c/4.jpg)
KIKWETE AHUTUBIA WAZEE LEO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-6PYgabvs3-k/VJhd2c3GdsI/AAAAAAAAVEE/MPom1pyITGI/s1600/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DfO6oObScgg/VJhd00yE7ZI/AAAAAAAAVD4/IW8P7RLzTpM/s1600/3.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Wazee wa...
10 years ago
MichuziCHADEMA YAANDAA KONGAMANO LA WAZEE, KUFANYIKA KESHO HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Vek4VMeuaps/VJgwLXjcuII/AAAAAAAG5FI/cyClvNrEO10/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
Rais Kikwete akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-Vek4VMeuaps/VJgwLXjcuII/AAAAAAAG5FI/cyClvNrEO10/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-s4Kqd0g1qGc/VJgwbfv_tpI/AAAAAAAG5Fg/TWc42Z434AA/s1600/unnamed%2B(15).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--eNW_LGojwQ/VJgwL6y5aHI/AAAAAAAG5FQ/cgR4MuxcwGY/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dfpB7jU6zvY/VJgwL1zXnCI/AAAAAAAG5FM/VU2uRU-rO9U/s1600/unnamed%2B(14).jpg)
10 years ago
GPLCHADEMA KUFANYA KONGAMANO LA WAZEE HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO, DAR LEO
 Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana mchana, kuhusu kongamano litakalo wakutanisha wazee wote bila kujali itikadi za vyama vyao litakalo jadili mustakabali wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu litakalofanyika  leo ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo jijini Dar es Salaam.  Makamu...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sehoxXN0Xrg/U_DMdycnCCI/AAAAAAAGAS0/TabylNjI1wM/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
Wazee wa Dar es salaam wawataka UKAWA kurudi Bungeni. Na
Immaculate Makilika –MAELEZO_DAR ES SALAAM WAZEE wa Mkoa wa Dar es salaam wamewaomba Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA) kurudi Bungeni ili kuendelea na mchakato wa majadiliano ya Rasimu ya Katiba Mpya yanayoendelea. Wazee hao wamesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya siasa nchini pamoja na Bunge la Katiba Mpya linaloendelea mjini Dodoma. Akizungumza kwa niaba ya Wazee wenzake Kepteni Mstaafu Alhaji Mohamedi Ligora , amesema kuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y6hyo7XZ0eFuaizanCTOL0PwTTpeyV6-7tusMo*VBpyy9Wx2h6vWJKq*xKeSfIRCO0xasHLvpTdwXWqar5zzb7odYgqgpBXm/jk.jpg?width=650)
UPDATES: HOTUBA YA RAIS JK KWA WAZEE WA DAR ES SALAAM
--Akaunti ikafunguliwa BoT kwa ajili ya kuweka tozo ya uwekezaji, zinahifadhiwa ili kutoa nafasi kwa pande mbili kushughulikia tofauti zao lakini kabla ya hapo TANESCO walikua wanalipa moja kwa moja.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3OnOfapBecS275xPT1VfDTjVaXZWZAKQ00Mvkv0FyWV7CPaQmeiE666CVW-9VsUz7cN8mIG7QBE5ZO7H41iQ*Fxy/unnamed15.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AKIZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam jana katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik na kulia ni katibu wa Baraza la wazee wa Dar es Salaam Mzee Mtulia.…
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-i_BQ2463uMU/VkDy-yC2B1I/AAAAAAAIFH0/CadFAzI4WWw/s72-c/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
Msaada wa madawati kwa shule 15 za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani
![](http://3.bp.blogspot.com/-i_BQ2463uMU/VkDy-yC2B1I/AAAAAAAIFH0/CadFAzI4WWw/s640/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania