SABABU ZILIZOPELEKEA KINGUNGE AJITOE CCM
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru, ametangaza kujiondoa kwenye chama tawala, CCM, ambacho amekuwa mmoja wa waumini wake wakubwa tangu enzi za TANU, kabla kuungana na ASP na kuzaliwa CCM mwaka 1977.
Alitangaza kuachana na siasa za chama tawala jana nyumbani kwake Kijitonyama, jijini Dar es Salaam, akidai hatua yake inatokana na CCM kutofuata na kuheshimu Katiba. “Kuanzia leo,(jana) naachana na CCM kwa sababu siwezi kuhimili chama kinachoendeshwa bila kuheshimu Katiba, Katiba...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Ben Pol aeleza sababu zilizopelekea Avril kutoonekana kwenye video ya ‘Ningefanyaje’
Siku chache baada ya kuachia video ya wimbo wake – ‘NINGEFANYAJE’, muimbaji wa R&B kutoka Tanzania, Bernard Paul maarufu kama Ben Pol ameeleza sababu zilizopelekea muimbaji Avrilkutoka Kenya aliyeshirikishwa kwenye wimbo huo, kutoonekana kwenye video hiyo anayoitaja kuwa kubwa kuliko video zote alizowahi kufanya.
Katika video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Afrika Kusini, Ben Pol anaonekana akiimba na Rossie M ambaye pia ameshirikishwa kwenye wimbo huo huku mashabiki wakiisikia...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tUR-PG0K0g0/VoEID5rvUZI/AAAAAAAIO94/2huWdki3-yk/s72-c/48JwVIyK.jpeg)
MSANII BEN POL AELEZA SABABU ZILIZOPELEKEA AVRIL KUTOONEKANA KWENYE VIDEO YA 'NINGEFANYAJE'
![](http://3.bp.blogspot.com/-tUR-PG0K0g0/VoEID5rvUZI/AAAAAAAIO94/2huWdki3-yk/s640/48JwVIyK.jpeg)
Katika video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Afrika Kusini, Ben Pol anaonekana akiimba na Rossie M ambaye pia ameshirikishwa kwenye wimbo huo huku mashabiki wakiisikia...
9 years ago
StarTV09 Oct
Wazee Chadema wasema Kuhama kwa Kingunge kusiwe sababu ya kumkebehi
Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA limekemea tabia ya kukebehi na kudhihaki kitendo alichokifanya kada mkongwe wa CCM Kingunge Ngombale Mwiru cha kukihama Chama hicho na kudai kuwa kila Mtanzania ana uhuru wa kujiamulia masuala yake binafsi.
Wamedai kuhama chama kusipokelewe kama dhambi bali ni ukomavu wa mtu katika demokrasia.
Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Chadema Rodriki Rutembeka anazungumza na waandishi kuhusu hali halisi inavyoendelea tangu Mzee Kingunge...
9 years ago
TheCitizen04 Oct
Kingunge quits CCM
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Kingunge awalipua CCM
MWANASIASA mkongwe na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Kingunge Ngombale – Mwiru, amesema makada wenzake wanaomshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, wanakitukana Chama...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MZEE KINGUNGE AACHANA NA CCM
9 years ago
TheCitizen05 Oct
CCM: Business as usual without Kingunge
9 years ago
StarTV05 Oct
Kingunge Ngombare Mwiru aihama CCM
Mwanasiasa Mkongwe ambaye pia mewahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi ndani ya serikali ya Tanzania, chini ya Chama cha Mapinduzi Kingunge Ngombale Mwiru, amekihama chama hicho, kwa madai kuwa kimeshindwa kusimamia katiba ya chama hicho, na kusababisha chama kupoteza dira ya kuwainua wananchi kiuchumi.
Mzee Mwiru, amesema anaamua kuelekea kwenye upande unaokubalika kutokana na itikadi zake za mabadiliko, ambazo yeye kama mzee anaona upande huo uko nje ya CCM.
Bila kutaja wazi chama...
9 years ago
Habarileo05 Oct
Mzee Kingunge ang’oka CCM
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru, ametangaza kujiondoa kwenye chama tawala, CCM, ambacho amekuwa mmoja wa waumini wake wakubwa tangu enzi za TANU, kabla kuungana na ASP na kuzaliwa CCM mwaka 1977.