MSANII BEN POL AELEZA SABABU ZILIZOPELEKEA AVRIL KUTOONEKANA KWENYE VIDEO YA 'NINGEFANYAJE'
![](http://3.bp.blogspot.com/-tUR-PG0K0g0/VoEID5rvUZI/AAAAAAAIO94/2huWdki3-yk/s72-c/48JwVIyK.jpeg)
Siku chache baada ya kuachia video ya wimbo wake - ‘NINGEFANYAJE’, muimbaji wa R&B kutoka Tanzania, Bernard Paul maarufu kama Ben Pol ameeleza sababu zilizopelekea muimbaji Avril kutoka Kenya aliyeshirikishwa kwenye wimbo huo, kutoonekana kwenye video hiyo anayoitaja kuwa kubwa kuliko video zote alizowahi kufanya.
Katika video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Afrika Kusini, Ben Pol anaonekana akiimba na Rossie M ambaye pia ameshirikishwa kwenye wimbo huo huku mashabiki wakiisikia...
Michuzi